Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM. Muonekano Wa Soko Kuu Dodoma. Limejengwa Kwa Gharama Ya Tshs Billion 14

Angalia soko, lakini hakuna parking ya magari pikipiki wala baiskeli, hiyo inayoonekana ni eneo la wauzaji wale wa nje.
Na litazinduliwa na litaanza kazi,sasa mgambo wataanza kukamata pikipiki,baiskeli na hata magari au kutoza faini za parking wakati hakuna eneo lililotengwa kwa ajili ya parking ya wauzaji, na hata wateja.
Itakuwa kama kariakoo, eti soko halina parking ya magari, halafu kuna watu watatukana na kuponda, wapo watakao sifia.
 
Huu ni msikiti wa hidaya au gadafi?
tapatalk_1581529499567.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo soko litakuwa na air conditioners?Maana naona lina vioo kote.

Vikwapa na zile tumbo za kande patakalika humo?
 
14 Billion serious imetumika kwenye hilo soko

kuna watu wamekula pesa hapo,sioni soko la hela hyo

machoni tu hata halivutiii,simple tu eti 14B weeeeeeeee
 
14 Billion serious imetumika kwenye hilo soko

kuna watu wamekula pesa hapo,sioni soko la hela hyo

machoni tu hata halivutiii,simple tu eti 14B weeeeeeeee
Hata Me nimeshangaa
Hapo Billion 14 Inaingia na kubaki chenji nyingi Sana

Tunapigwa Sana jamani daa!
 
Hata Me nimeshangaa
Hapo Billion 14 Inaingia na kubaki chenji nyingi Sana

Tunapigwa Sana jamani daa!
watu wanachukulia Billion 1 ni pesa ndogo sana

sasa hapo zibo B.14,labda tusubiri liishe yawezekana

wakalieka mageti ya vioo,sakafu za vioo,nk nk (soko hilo)

Acheni tu tunyooshwe,Acheni kwakweli hamna namna.
 
Mi nauliza tu,hiyo nguzo moja Hapo vipi?,
Linaonekana litakidhi mahitaji maana Ni kubwa
 
watu wanachukulia Billion 1 ni pesa ndogo sana

sasa hapo zibo B.14,labda tusubiri liishe yawezekana

wakalieka mageti ya vioo,sakafu za vioo,nk nk (soko hilo)

Acheni tu tunyooshwe,Acheni kwakweli hamna namna.
Hehehehhe Sakafu ya Vioo

Hawashindiw kuleta Magumash kibao na wakakomea hapo hapo
 
Back
Top Bottom