Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
- Thread starter
- #161
Long time enheeeee
No see, muda mwingi niko kule ambako ban zinagawiwa kama ujugu. Nimeona nioumzike kidogo mitaa hii this two days.
Long time enheeeee
Kaizer nadhani tulishaongea
Vin Diesel unanipa mawazo sana naona bado unamuwaza@chaming lady..sidhan kama naweza kuendelea na wewe naomba talaka..
Asprin nitarud kutoa tamko
Mentor maomba leo unishike mkono mawazo yamenizidi uwezo
No see, muda mwingi niko kule ambako ban zinagawiwa kama ujugu. Nimeona nioumzike kidogo mitaa hii this two days.
Well NOTED, with THANKS.... Hutanisikia tenaaaaa my LOVEThis doesn't suit you please...........
Usije ukaugua kama binti wa ile Kampuni ya Mabasi ya Taifa...
kule watu hawana stamina hata kidogo........, glad to see u again
Siye nadhani tumeshayamaliza vizuuri kabisa
hivi ni vyama vya ukanda ama?Naona Hiki chama kinahitaji nguvu ya ziada au kifutwe na msajili Mentor wewe ndo mwenyekiti ila Bodi Dairekita Asprin tunaomba ushahuri mkuu Kaizer naomba uingilie kati Paloma plz ze needful Nicas Mtei naona uliowaachia lichama wamekuwa mzigo ila Vin Diesel vipi kadi unayo au umechukua ya chama kipya??
shost nashangaa coz kwenye show ya sporah walijigamba sana kwamba kwenye ndoa yao no cheating..mweeh nimeamini kweli usiuseme moyo...
uongo mtupu..ila hii aibu sio kwa mume tu hata mke ,maana kama walikuwa wanaugomvi miaka mingi sisi wote tutajua walikuwa wanaishije..
Jamaa kachemka sana yani kama ni shetani kweli kamtumbukiza pabaya baba mwinjilisti muimba kwaya
Chizi Fureshi Imebidi nifanye marudio kuangalia Sporah Show. Walijigamba sana. Kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto!
Yaani mambo ya kifamilia yangebidi yamalizike kifamilia. Lakini kwa hili wamechelewa lishafika kwenye mkono wa sheria ashaenda mpakq polisi amefanyiwa uchunguz vipimo vya daktari vimeonyesha hivo. Hapo mahakaman kazi inakuwa ndogo sana labda watoe rushwa kubwa sana. Jamaa ataenda ndani atafungwa miezi michache huku mtaani kutulie then watamtoa kwa faini kama watamalizana kifamilia.
we atoto kuwa uyaone huyu mwenyewe kutwa na michepuko Vaislay mwenyewe katangaza wazi wazi kwamba Kaizer ni mchepuko wake sasa mi nifanyaje? mnataka mi niwe kwenye njia kuu peke yangu? hata tairi likipata pancha nani atanisaidia? na mie nabanana na michepuko kama kawa...aftaolu mi sijui ka Nyalotsi ni me.