Hivi hujui kama mi ni mke wa Vin Diesel...we ni mchepuko kama Asprin tu...bora nikupunguze tu...
msalimie Mentor
Haaaa sema hudanganyiki mara mbili na minhuwa sirudiagi kutongoza ni kinyume.na kanuni za chama
Cc Asprin Mentor Vin Diesel
Hivi hujui kama mi ni mke wa Vin Diesel...we ni mchepuko kama Asprin tu...bora nikupunguze tu...
msalimie Mentor
Ndiyo maana yake, Ema, Flora na Mdogo wake...Wote watatu au siyo
Usije ukaugua kama binti wa ile Kampuni ya Mabasi ya Taifa...yaani baby ake kumbe unafanywa mchepuko? oooh tate nane!!! ngoja nianze kutafuta mwanasheria...
Stellah....
[/B]
Mnapomalizana kifamilia mnam favor mtuhumiwa,huyu aliyebakwa haki yake ataipata wapi?
Huyo bint ni yatima kumbuka,nani atamsimamia kwenye hivyo vikao vya familia?
Sheria ifuate mkondo wake tu,kuyamaliza kifamilia ni kumnyima haki yake bint.
Kama mahakama ikijiridhisha alibaka kweli,sheria ifate mkondo wake tu! Nakerwa wanaopenda kumaliza masuala ya ubakaji kifamilia!!!
Kuhusu hiyo ndoa yao,watajua wenyewe,wakiamua kusameheana au kila mmoja ashike njia. Kila mmoja asikilize moyo wake!!!!
Ndoa si lelemama!
nitawafungia chumbani siku tatu na kupitisha chakula kwenye kitundu kidogo..i'm sure wata do tu, na hapo watakuwa wameshapatana.
Njia ipi ya segerea miaka 30 ama
Hgirl wangapi wanabakwa wankaakimya
Na yeeye akaekimya mpaka Yesu aakirudi ndoayawatuiendelee
nitawaambia wasikilize ule wimbo wao wa ndoa
Hivi hujui kama mi ni mke wa Vin Diesel...we ni mchepuko kama Asprin tu...bora nikupunguze tu...
msalimie Mentor
Wakiuwana kwa sababu ya ndoa yao kuvurugika ndo mnakuwaga wa kwanza kulia ka vile mna uchumgu, mkiambiwa toeni namna ya kusuruhisha ili wasiharibikiwe majibu yenu ndo hayo... UNAFIKI MTUPUNdoa ya watu we inakuhusu nini? yako mwenyewe yanakushinda ukasuluhishe ya wenzio...toa libanzi lako la jicho ndo ukamtoe mwenzio...umbea tu!!!