Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Kaizer nadhani tulishaongea
Vin Diesel unanipa mawazo sana naona bado unamuwaza@chaming lady..sidhan kama naweza kuendelea na wewe naomba talaka..
Asprin nitarud kutoa tamko
Mentor maomba leo unishike mkono mawazo yamenizidi uwezo

Hilo tamko uniambie mimi peke yangu. siri za wanachama lazima ziheshimiwe. Fanya chapchap sana uje pande za babu ODM. uje without kabisa ili tusipoteze muda.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kaizer nadhani tulishaongea
Vin Diesel unanipa mawazo sana naona bado unamuwaza@chaming lady..sidhan kama naweza kuendelea na wewe naomba talaka..
Asprin nitarud kutoa tamko
Mentor maomba leo unishike mkono mawazo yamenizidi uwezo

Nakudediketia lisongi la Hold my Hand -Sean Paul.

Mkuu BAK please do the needful.

"I'll be there Vaislay, u know I care girl..."
 
Last edited by a moderator:
Mungu awasamehe na awasaidie pia waweze kusameheana na kuanza upya

Dhambi ni mbaya sana na unapomkaribisha shetani kwa nyumba yako hafanyi kosa
 
Back
Top Bottom