REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,895
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha zimekuwa zikichukua nafasi siku za hivi karibuni.
Leo April 29, 2017 millardayo.com imezipata picha 11 ambazo Madam Flora yupo na mumewe mtarajiwa ambaye anaitwa Daudi Kusekwa. Wawili hao wanatarajia kufunga ndoa April 30, 2017 jijiniMwanza.
Hizi hapa picha…