Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
kamu zisi wei ulinde dengueMimi mlinzi nitaotaje sasa
kamu zisi wei ulinde dengueMimi mlinzi nitaotaje sasa
hahahhaha picha yako noma....hhahahaha na hayo mapengo hatari tupuhahahahhahah kusutwa suna
kamu zisi wei ulinde dengue
hmm mwenzangu leo akili ya usiku imezidi macho kha!!! unatema moto hatari
Wamekwambia wanataka kusuluhishwa?
Hebu soma user name yako kwanza labda umesahau unaitwa nani
Aibiwe mara ngapi mbakaji yule..cheche moto mtungi yule hatari,bora mi nawe tusiokuwa na mume...(sina uhakika na wewe kama huna,nimelopoka tu)haa haa haa best majanga tu..nitatoaje wa ushauri kueleweka mimi mwenyewe yangu yananishinda...ila best ujue yule mume ni hb sana..frola ajiandae tu kisaikolojia kuibiwa..
hahahahhahah kusutwa suna
Hebu rudi tena shule maana sioni kitu hapo... zee zee zee zati zati ....peleka hukoWhen i wented to school for fighting dengue me was good. In class number one no missing but now very kilometers from dar. Bring fastjet that i come that way and kill mosquito of dengue quickly!
When i wented to school for fighting dengue me was good. In class number one no missing but now very kilometers from dar. Bring fastjet that i come that way and kill mosquito of dengue quickly!
Aibiwe mara ngapi mbakaji yule..cheche moto mtungi yule hatari,bora mi nawe tusiokuwa na mume...(sina uhakika na wewe kama huna,nimelopoka tu)
uongo mtupu..ila hii aibu sio kwa mume tu hata mke ,maana kama walikuwa wanaugomvi miaka mingi sisi wote tutajua walikuwa wanaishije..shost nashangaa coz kwenye show ya sporah walijigamba sana kwamba kwenye ndoa yao no cheating..mweeh nimeamini kweli usiuseme moyo...
shost nashangaa coz kwenye show ya sporah walijigamba sana kwamba kwenye ndoa yao no cheating..mweeh nimeamini kweli usiuseme moyo...
uongo mtupu..ila hii aibu sio kwa mume tu hata mke ,maana kama walikuwa wanaugomvi miaka mingi sisi wote tutajua walikuwa wanaishije..
Jamaa kachemka sana yani kama ni shetani kweli kamtumbukiza pabaya baba mwinjilisti muimba kwaya

nikiona haya majanga ya ndoa hata moyo wa kuwaza ndoa unapata ganzi....ofcz sijacheka wala kuzomea mkuu,Usiwacheke wala kuwazomea...... utaolewa na wewe labda mume wako atokee Mars ataweza kuwa tofauti!.... Ndoa nyingi zipo hivyo sema ya Flora inaonekana sababu ni ya star
nikiona haya majanga ya ndoa hata moyo wa kuwaza ndoa unapata ganzi....ofcz sijacheka wala kuzomea mkuu,
Waza maisha pambana na umasikini, ndoa ikija shukuru! Mabinti tunakosea sana kuweka too much expectation kwenye ndoa! Kwamba itakupa raha ya ajabu, kwamba dhiki zimepata mtatuzi, kwamba utapendwa na kujaliwa kuliko wanawake wote duniani, kwamba maisha yatakuwa fairy tale.
Ukiingia kwenye ndoa ukikuta sivyo lol taharuki na kuchanganyikiwa na kupoteza mwelekeo mzima wa destiny yako! Be Care!