Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

ndoa ni tamu tu ila mkimuacha shetani awe mwalimu wenu,ndio hayo hutokea.
 
Ndoa ilikua changa kipindi hicho! Waambie wenye ndoa inayoanzia miaka 8 na kuendelea watatoa majibu mazuri!....

Mmh mbona kwenye sporah show walsema wako kwenye ndoa 10 yearz sasa tena wakasema wakasema wanatumia simu moja... Da kwel pale maneno tu ya moyon wanayajua wenyewe
 
suluhu wanayo wenyewe kwa kukiri mapungufu yao na kusameheana, lakini kumbuka kuna kesi ya ubakaji ambayo mlalamikaji hata akimsamehe mtuhumiwa bado sheria/jamhuri yaweza kuendelea na kesi hapo ndio kwenye changamoto
 
Assume wameindoa kwa hiari yao kwenye macho ya kisheria
 
Mmh mbona kwenye sporah show walsema wako kwenye ndoa 10 yearz sasa tena wakasema wakasema wanatumia simu moja... Da kwel pale maneno tu ya moyon wanayajua wenyewe

Sio mmoja tu ndo mwenye kosa hapa. Ukiona yametokea ujue fukuto ilikuwa kwa wote ila mmoja ndio kaibishwa na shetani, nakumbuka udaku uliwahi andika kuwa frola anatembea na promota hivyo yeye ndo hakukamatwa, lakini leo imempata mmewe sababu ya mkewe kutokiwa makini na ndoa yake. Ivi vishemeji huwa vinashida sana kama huko makini navyo is very tempting and tegaring, ni second after beki three. Suluhisho liko mikononi mwao, uwezo wa kuhandle mambo, ukubwa wa ubongo na kichwa cha kila mmoja
 
Waza maisha pambana na umasikini, ndoa ikija shukuru! Mabinti tunakosea sana kuweka too much expectation kwenye ndoa! Kwamba itakupa raha ya ajabu, kwamba dhiki zimepata mtatuzi, kwamba utapendwa na kujaliwa kuliko wanawake wote duniani, kwamba maisha yatakuwa fairy tale.
Ukiingia kwenye ndoa ukikuta sivyo lol taharuki na kuchanganyikiwa na kupoteza mwelekeo mzima wa destiny yako! Be Care!
Thanks, kwa mawazo yako...
 
Assume wameindoa kwa hiari yao kwenye macho ya kisheria

Hii kesi ukiipeleka mahakamani ni yule aliyefanyiwa hicho kitendo ndo anastahili kuitoa lakini kwa vile ni kesi ya jinai jamhuri ndo inasimamia kesi hii. Sio rahisi kama unavyosema
 
Kama mahakama ikijiridhisha alibaka kweli,sheria ifate mkondo wake tu! Nakerwa wanaopenda kumaliza masuala ya ubakaji kifamilia!!!
Kuhusu hiyo ndoa yao,watajua wenyewe,wakiamua kusameheana au kila mmoja ashike njia. Kila mmoja asikilize moyo wake!!!!
Ndoa si lelemama!
 
Ndo ninachomwambia hata mlalamikaji asipotokea mahakamani yeye ni mojawapo.
wa mashahidi tu...kesi inabaki ya jamhuri
 
Kama mahakama ikijiridhisha alibaka kweli,sheria ifate mkondo wake tu! Nakerwa wanaopenda kumaliza masuala ya ubakaji kifamilia!!!
Kuhusu hiyo ndoa yao,watajua wenyewe,wakiamua kusameheana au kila mmoja ashike njia. Kila mmoja asikilize moyo wake!!!!
Ndoa si lelemama!

Yaani mambo ya kifamilia yangebidi yamalizike kifamilia. Lakini kwa hili wamechelewa lishafika kwenye mkono wa sheria ashaenda mpakq polisi amefanyiwa uchunguz vipimo vya daktari vimeonyesha hivo. Hapo mahakaman kazi inakuwa ndogo sana labda watoe rushwa kubwa sana. Jamaa ataenda ndani atafungwa miezi michache huku mtaani kutulie then watamtoa kwa faini kama watamalizana kifamilia.
 
Mnapomalizana kifamilia mnam favor mtuhumiwa,huyu aliyebakwa haki yake ataipata wapi?
Huyo bint ni yatima kumbuka,nani atamsimamia kwenye hivyo vikao vya familia?
Sheria ifuate mkondo wake tu,kuyamaliza kifamilia ni kumnyima haki yake bint.
 
Back
Top Bottom