Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Watakuja...
Tuwasubiri...
Watakuja...
Haaa mkuu unataka kusema hicho ni kinono kibaya?
nimsuspend uanachama? Kwanza hajalipa ada kwa miaka miwili sasa.
nimsuspend uanachama? Kwanza hajalipa ada kwa miaka miwili sasa.
Naomba suala hili lichukuliwe hatua madhubuti iwe funzo kwake na wengine wenye tabia kama zake.
Atafutwe na KakaKiiza na Nicas Mtei
Kwani kuachana si suluhu..???
Vaislay kuna neno huku hebu ukuje harakaaa
Taarifa sina. Hili jamaa litakuwa lidokozi. İsitoshe Vaislay hajaja kwangu kukaguliwa kama sheria za chama zinavyosema.
nimsuspend uanachama? Kwanza hajalipa ada kwa miaka miwili sasa.
Naomba suala hili lichukuliwe hatua madhubuti iwe funzo kwake na wengine wenye tabia kama zake.
Atafutwe na KakaKiiza na Nicas Mtei
Jana ulilala wapi we bibie...
Namtambua charminglady kama my number one girl...hao wengine walishanitoka
Habari za Paloma muulize sosoliso
Endeleeni kutajana....
Hili swala halikubaliki tunabomoa hadi ndani ya chama...
Babu lazima aje umfanyie ukaguzi kama mifupa imekomaa kwa ajili ya kumumunya....
whaaaaat???