Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

we atoto kuwa uyaone huyu mwenyewe kutwa na michepuko Vaislay mwenyewe katangaza wazi wazi kwamba Kaizer ni mchepuko wake sasa mi nifanyaje? mnataka mi niwe kwenye njia kuu peke yangu? hata tairi likipata pancha nani atanisaidia? na mie nabanana na michepuko kama kawa...aftaolu mi sijui ka Nyalotsi ni me.

hv dada DEMBA? kweli hv ndivyo mama alitufunza? mpaka aende kwa mchepuko ww ulikuwa wapi, kwahiyo hapa kisasi ndio suluhu yako sio! mwanamke kamwe hashindani na mwanaume,hubaki njia kuu akimuombea mumewe na kujitahidi kurekebisha lile lililomfanya akachepuka ili asichepuke tena
 
Last edited by a moderator:
Ndoa yao imetikiswa kivipi mkuu usifikiri kila mtu anapata habari zote ua mmoja wao ametoka Njia kuu.............? ili niweze kuwasaidia........
 
Haya njooni tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu nami nitazisafisha muwe weupe kama Sufi.

Neno hilo kutoka maandiko matakatifu, laweza kuwa utangulizi wa jitihada za kuwasaidia.
Katika hili Flora ana nafasi ya kuibuka shujaa, kama atatangaza kumsamehe mume wake. Atakuwa amemfuata vyema Yesu anayemhubiri (aliwasamehe wauaji wake), Papa John Paul II (alimsamehe aliyempiga risasi, Moses Kulola babu wa Flora (alimsamehe Kakobe)na Hillary Clinton (alimsamehe Bill Clinton na Lewinsky)

Nitasamehe dhambi zote lakn ya uzinifu hapana Ee Mungu nisaidie. Sembuse hii ya ubakaji duh am very sorry
 
Ukiona hivi si bure! Kutakuwa na ufisadi umefanyika, yaani mchepuko. Kama aliyechepuka hatakuwa tayari kuomba msamaha, hakuna suluhu, ila talaka. Sumu ya kuwa na ndoa ya amani, upendo na furaha ni michepuko; ni chimbuko la migogoro ya ukweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hv dada DEMBA? kweli hv ndivyo mama alitufunza? mpaka aende kwa mchepuko ww ulikuwa wapi, kwahiyo hapa kisasi ndio suluhu yako sio! mwanamke kamwe hashindani na mwanaume,hubaki njia kuu akimuombea mumewe na kujitahidi kurekebisha lile lililomfanya akachepuka ili asichepuke tena

Shemeji atoto haya maneno ya busara hivi yamenibariki sana!
 
Last edited by a moderator:
Subiri kwanza..

Nataka kufahamu kama babu Asprin ana taarifa zozote juu ya hili.

Pili wakezo Paloma na charming lady na Mamndenyi wana taarifa zozote juu ya hili...??!
Mentor umeona shemeji mie siungi..? Mbona wamkabidhi Vin Diesel mai waifu wangu jamani..?

Namtambua charminglady kama my number one girl...hao wengine walishanitoka
Habari za Paloma muulize sosoliso

Aiseeee mie simuelewi kabisa huyu Mentor.. Halafu anajua kabisa mie ndo shemeji yake wa halali..
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sitakuwa na la kuwashauri kama sitajua kwanza walioanaje,je Mungu alishirikishwa au walioana kimjini mjini tu?,nisipopata jibu sahihi la hoja hii napiga zangu kimyaaa!
 
Back
Top Bottom