Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

QUOTE=Chizi Fureshi;9670728]When i wented to school for fighting dengue me was good. In class number one no missing but now very kilometers from dar. Bring fastjet that i come that way and kill mosquito of dengue quickly![/QUOTE]

Wewe unaumwa au Una dengue
 
tuwaache jmn hapo ni Mwenyezi Mungu tu ndio atakayetoa hatma ya ndoa hiyo sie wanadamu tutatokwa povu bure tu hapa...kwani tulishawahi hata kujua kuwa yatatokea hayo yaliyotokea? tumuachie Mwenyezi Mungu ni kazi yake sio yetu sisi kazi yetu ni kumuomba aingilie kati kwa kulisimamia tu.....
 
Omba tukusikie sasa
 
QUOTE=Chizi Fureshi;9670728]When i wented to school for fighting dengue me was good. In class number one no missing but now very kilometers from dar. Bring fastjet that i come that way and kill mosquito of dengue quickly!

Wewe chi.zi fresh, lugha ya kikristo ngum sana, labda jarib kiislam[/QUOTE]

If you dont understand me other understand good very. Me call bategereza that show you white language ok?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nitawaambia wasikilize ule wimbo wao wa ndoa

Hapa ndio nayakumbuka maneno ya AMBWENE mwimbaji wa nyimbo za injili. "NDOA NI KAMA JUA, ASUBUHI HUWA TAMU SANA MAKUNDI KWA MAKUNDI HULIFUATA ILI KUPATA VITAMINI D, IFIKAPO MCHANA JUA aka NDOA HUWA KALI SANA WATU WENGI HUSHINDWA KUVUMILIA. ILA JIONI IKIFIKA JUA HUPUNGUA NA KUPENDWA TENA"

Hapo niseme hizo ni changamoto tu za ndoa kinachohitajika ni uvumilivu. Hapo ndipo pia namkumbuka babu yao kipenzi cha flora, askofu kulola angekuwepo angeumia sana.
 
Umeonyesha ukomavu katika daraja hili na umekuwa msaada si kwa jambo hili tu, bali hata kwa wale wote wanaojaribu kujitoa uelewa. Kudos
 
Kama mahakama ikijiridhisha alibaka kweli,sheria ifate mkondo wake tu! Nakerwa wanaopenda kumaliza masuala ya ubakaji kifamilia!!!
Kuhusu hiyo ndoa yao,watajua wenyewe,wakiamua kusameheana au kila mmoja ashike njia. Kila mmoja asikilize moyo wake!!!!
Ndoa si lelemama!
Hakuna aliyebakwa... Binti ni kicheche na alikua anajua anachofanya

Mashemeji hutiwa kirahisi sababu ya sympathy kutokana na hali za dada zao
 
Wamekwambia wanataka kusuluhishwa?

Safi sana!!! Hii imekaa poa!!! Nakuunga mkono 100% Umbeya tu unamsumbua aliyeanzisha hii mada. Kazi kufuatilia maisha ya watu!!! Hatutaki umbeya hapa ndani. Hayatuhusu

Back
Top Bottom