Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

Mmoja ajivue gamba au awe mpole mambo yasonge.
 
Toa ushahidi wa neno la udhalilishaji, lau kama nimesema.vema, kwa nini wanisonta?

Cc Asprin
Nakupenda Kaizer lakini kwa ulivyompendelea DEMBA kumuita beb nami unaniambia nisubiri roho imeniuma,Demba si ataona mimi niko kama kiraka....sitaki, sitaki Asprin njoo usikie na unipooze maumivu yangu....
 
Last edited by a moderator:
suluhu wanayo wenyewe kwa kukiri mapungufu yao na kusameheana, lakini kumbuka kuna kesi ya ubakaji ambayo mlalamikaji hata akimsamehe mtuhumiwa bado sheria/jamhuri yaweza kuendelea na kesi hapo ndio kwenye changamoto

How do u forgive a husband ambae amekucheat kwa mdogo wako tena sio walikubaliana AMEMBAKA?
 
Mleta mada me kwa mtazamo wangu hii ndoa haina suluhu kwa kweli
 
Nakupenda Kaizer lakini kwa ulivyompendelea DEMBA kumuita beb nami unaniambia nisubiri roho imeniuma,Demba si ataona mimi niko kama kiraka....sitaki, sitaki Asprin njoo usikie na unipooze maumivu yangu....

Ukimwita Asprin hii kesi nitashinda.....ila Vaislay DEMBA ni baby angu ila wewe sio kiraka kwanza nimekumiss hebu come zis way leo ijumaa ujue...mwaaah
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza nyimbo zao nizifungie hapa home sisikilizi mpaka hukumu ya haki ipatikane
 
Back
Top Bottom