Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina.
Waziri mkuu. Mohammad Mustafa , amesema kuwa Israel iondoke maeneo ya Gaza, na kuyaacha chini ya utawala wa wapalestina, na kwamba wao hawaungi mkono vitendo vyovyote vya vurugu na kigaidi.

Je, tamko hili la utawala wa Wapalestina litaheshimiwa na Hamas?

Ombi hili siyo jipya kutoka kwa mamlaka ya Palestina. Mwezi April mwaka huu, Rais wa Wapalestina Mahmoud Abbas, aliwaita Hamas ni watoto wa mbwa wasiojali maisha ya wapalestina.

Maajabu, wapalestina wa Palestine hawawataki Hamas, lakini waarabu wa Buza na Mchambawima, wanawashabikia Hamas!!

Habari kamili hii hapa:

Palestinian Authority leader says Hamas should hand over control of Gaza​

Palestinian Authority Prime Minister Mohammad Mustafa on Monday said Hamas should disarm and hand over control of Gaza.

Speaking at a conference on the two-state solution at the United Nations in New York, Mustafa said, “Hamas must relinquish its control over the strip and handover its weapons to the Palestinian Authority.”

Mustafa asserted that “the State of Palestine is the only holder of the right to rule the entire Gaza Strip,” and called on Israel to withdraw completely from the enclave.

He reiterated that the Palestinian Authority rejects “violence and terrorism in all its forms, including targeting and attacking civilians.”

Some background: The PA demand for Hamas to cede control of Gaza isn’t new.

In April, Palestinian Authority President Mahmoud Abbas called Hamas “sons of dogs” while demanding the release of the remaining Israeli hostages in Gaza and the disarmament of the militant group.
 
Back
Top Bottom