Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki.

Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya upinzani,kuabudiwa na n.k

Leo serikali ina lalamika kupoteza faida ya pesa ila wamesahau walifungia maduka ya kubadilisha pesa ambayo walikuwa wanalipa kodi




20260101_082243.jpg
 
Kipindi kile sawa hizo black market zilifungwa ila sh ya Tanzania dhidi ya dola ilikuwa ile ile kwa kipindi kirefu sana nadhani ulikuwa unabadilisha dola moja kwa 2300 au 2200.

NB.. sio mtaalamu wa uchumi ila jambo lolote huwa lina impact zake liwe baya au zuri
 
Hii nchi tuna bahati mbaya kupata mazezeta kua viongozi,hayaoni miaka buku mbele yanaangalia faida zao za leo na sio future ya taifa stupidy!
 
Back
Top Bottom