Rai kwa Wakuu wa Wilaya wote waliochaguliwa katika kuelekea Tanzania ya uchumi wa kati hatutavumilia kuwa na Wakuu wa Wilaya Mizigo ambao hawatajihusicha na ubunifu wa kisasa wa kuboresha na kuleta maendeleo katika maeneo yao ya utawala.
Mkuu wa Wilaya kwa Kushirikiana na Mkurugenzi Mtenfdaji wa halimashauri wanatakiwa kuandaa mpango Mkakati wa miaka 5 ( Strategic Plan) ya halimashauri itakayotokana mpango wa maendeleo wa Taifa wa miaka 5
Mambo ya kuzingatia kwa wakuu wa Wilaya katika kipindi cha miezi 6
1. Kusimamia utekelezaji wa elimu bure na kuhakikisha kila Mwanafunzi anakaa kwenye dawati na walimu wanawajibika kutekeleza wajibu wao wa kufundisha. Wakuu wa wilaya wajiongeze na kufanya Supportive supervision kwa kushirikiana na watendaji katika halimashauri.
2. Kusimamia upatikanaji wa huduma bora za Afya katika vituo vya kutolea huduma za afya; kwa kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinapatikana katika vituo kwa kutumia fedha zinazotengwa MSD, Busket fund, Fedha za CHF; Mkuu wa Wilaya katika eneo hili anatakiwa kulala mbele na Waganga wakuu wa wilaya na wafamasia ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakitumia hovyo pesa zinazotengwa kwa ajili ya dawa. Aidha Wakuu wa wilaya wahakikishe wanatunga sheria ndogo ya kuhakikisha kila kaya inajiunga na Mfuko wa afya ya Jamii (CHF) ilikupata matibabu bure kwa kipindi cha mwaka mzima
3. Mkuu wa Wilaya ainishe mikakati ya kisasa ya kuboresha kilimo na ufugaji katika eneo lake la utawala na mpango wa utekelezaji wa mikakati hiyo.
4. Mkuu wa Wilaya katika eneo lake la utawa anatakiwa kutenga eneo kubwa (Zone) kwa ajili ya kupima maeneo ya ujenzi wa viwanda vikubwa na vidogo katika Wilaya. maeneo hayo yauzwe kwa wawekezaji na Sererikali kwa ajili ya ujenzi wa viwanda kulingana na malighafi inayopatikana katika halimashauri Mfano Shinyanga wanaweza kujenga viwanda vya Nyama, Viatu/Ngozi, Viwanda vya Nguo/nyuzi; Tanga watajenga viwanda vya kutengeneza Juice za Matunda etc ili mradi kila wilaya kulingana na malighafi inayopatikana
5. Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Watalaam waandae na kutekeleza mpango wa kuwafikisha wananchi wote huduma ya maji safi na salama
6. Mkuu wa Wilaya ahakikishe barabara zote za kuunganisha kata kwa kata zinafanyiwa ukarabati kwa kutumia nguvu za wananchi na fedha zinazotengwa katika halimashauri kwa ajili ya ujenzi wa barabara
Haya ni baadhi ya mambo machache tu Mkuu wa Wilaya anapaswa kuanza nayo pamoja na jukumu lake kuu muhimu la kudimisha ulinzi na usalama katika wilaya