Brazil haikutawaliwa na Spain bali ilitawaliwa na Ureno.Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora.
Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii.
Wakati Hispania inatawala Equatorial Guinea, walijikita zaidi katika kilimo cha cocoa. Equatorial Guinea ilizalisha cocoa zaidi ya nchi jirani kama Ghana, Nigeria na Ivory Coast licha ya nchi hizo kuwa na ardhi kubwa kuliko Equatorial Guinea. Taarifa hizi zilitoka baadae sana kwani Hispania hawakuziweka wazi wakati wa utawala wake. Inasemekana walitumia utaalamu mkubwa katika kilimo cha cocoa.
Ugunduzi wa mafuta Equatorial Guinea ulitokea baada ya kupata uhuru wao kutoka Hispania mwaka 1968.
Amerika ya Kusini, Hispania ilitawala Cuba, Brazil Puerto Rico, Caribbean na nchi zote zinazoongea Kispaniola. Kumbukumbu walizoacha katika sehemu hizi nidini ya Ukatoliki na majengo nadhifu.
Majengo ya Equatorial Guinea pia ni tofauti ingawa inaonekana tangu Hispania ilipoondoaka miundo mbinu iliyoendelezwa ni michache pamoja na utajiri wao wa mafuta.
View attachment 1441548
Majengo ya ki historia yaliyoachwa na Hispania mjini Sao Paul
View attachment 1441550
Kanisa Katoliki Equatorial Guinea
Hispania pia ilitawala Philippines, jina hili lilitolewa kama zawadi na kumbukumbu ya mfalme wa Hispania wa wakati huo Mfalme Phillip.
... na lugha rasmi ya Brazil ni Kireno; labda ulitaka kumaanisha Argentina; hawa ndio walitawaliwa na Spain na lugha yao ni "Argentine Spanish".Asante sana
Walitawala Cuba pia hata Marekani Missouri, California,Florida 1400-1500 ilikuwa coloni la Hispania... na lugha rasmi ya Brazil ni Kireno; labda ulitaka kumaanisha Argentina; hawa ndio walitawaliwa na Spain na lugha yao ni "Argentine Spanish".
... of course na Mexico, Texas, na New Mexico (USA).Walitawala Cuba pia hata Marekani Missouri, California,Florida 1400-1500 ilikuwa coloni la Hispania
Wakati huo kilimo cha miwa kwa uzalishaji wa sukari ndiyo ilikuwa habari ya mjini. Wahispania walikuwa wateja wakubwa wa biashara ya utumwa ili kupata nguvu kazi katika uzalishaji wa miwa.... of course na Mexico, Texas, na New Mexico (USA).
... majimbo mengi ya Kusini mwa USA yalitawaliwa na Spain ambaye pia alitawala Mexico (nchi) iliyo upande huo huo wa Kusini mwa USA. In fact sehemu ya ardhi kusini mwa USA ilizua migogoro baina yake na Mexico.Miaka yote nilidhani Texas wapo vile kwa only kwa sababu wapo jirani na Mexico.
USA alinunua land kutoka kwa Hispania. Kama si u one u malipo ya ardhi wasipewe natives anapewa mkoloni.... majimbo mengi ya Kusini mwa USA yalitawaliwa na Spain ambaye pia alitawala Mexico (nchi) iliyo upande huo huo wa Kusini mwa USA. In fact sehemu ya ardhi kusini mwa USA ilizua migogoro baina yake na Mexico.
... Sure! Kama alivyonunua Alaska (1,723,337 sq. km. - almost twice of Tanzania) kutoka Russia (inasemekana by then was US$ 7,000,000). Pia Trump recently alianzisha mchakato wa kuinunua Greenland kutoka Denmark. Hawa jamaa kwa kununua ardhi wako vizuri.USA alinunua land kutoka kwa Hispania. Kama si u one u malipo ya ardhi wasipewe natives anapewa mkoloni.
Kosa moja kubwa umefanya ni kuwa brazil ilitawaliwa na ureno na sio hispaniaKatika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora.
Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii.
Wakati Hispania inatawala Equatorial Guinea, walijikita zaidi katika kilimo cha cocoa. Equatorial Guinea ilizalisha cocoa zaidi ya nchi jirani kama Ghana, Nigeria na Ivory Coast licha ya nchi hizo kuwa na ardhi kubwa kuliko Equatorial Guinea. Taarifa hizi zilitoka baadae sana kwani Hispania hawakuziweka wazi wakati wa utawala wake. Inasemekana walitumia utaalamu mkubwa katika kilimo cha cocoa.
Ugunduzi wa mafuta Equatorial Guinea ulitokea baada ya kupata uhuru wao kutoka Hispania mwaka 1968.
Amerika ya Kusini, Hispania ilitawala Cuba, Brazil Puerto Rico, Caribbean na nchi zote zinazoongea Kispaniola. Kumbukumbu walizoacha katika sehemu hizi nidini ya Ukatoliki na majengo nadhifu.
Majengo ya Equatorial Guinea pia ni tofauti ingawa inaonekana tangu Hispania ilipoondoaka miundo mbinu iliyoendelezwa ni michache pamoja na utajiri wao wa mafuta.
View attachment 1441548
Majengo ya ki historia yaliyoachwa na Hispania mjini Sao Paul
View attachment 1441550
Kanisa Katoliki Equatorial Guinea
Hispania pia ilitawala Philippines, jina hili lilitolewa kama zawadi na kumbukumbu ya mfalme wa Hispania wa wakati huo Mfalme Phillip.
Kukosea ni kawaida, watanzania tunaogopa sana kukosea ndo maana hatupendi kujaribu mambo mengiKosa moja kubwa umefanya ni kuwa brazil ilitawaliwa na ureno na sio hispania
Sent using Jamii Forums mobile app
... Sure! Kama alivyonunua Alaska (1,723,337 sq. km. - almost twice of Tanzania) kutoka Russia (inasemekana by then was US$ 7,000,000). Pia Trump recently alianzisha mchakato wa kuinunua Greenland kutoka Denmark. Hawa jamaa kwa kununua ardhi wako vizuri.