concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
Shhhhh asikusikie akaanza
Nikweli mr. kayimukaa tokea nianze uhusiano nae mwezi wa kumi mwaka jana hela mpaka mimi ndo niamue kumpa kwa kumuonea huruma kama rafki yangu
Sipendezwi kumuona mwanaume ambaye awezi kujilisha yeye mwenyewe anatafuta msichana kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.
Anamtaka msichana awe mpenzi wake lakini hana pesa.
Nashauri, ni vyema mtu ambaye hana pesa awe busy kutafutae pesa kwanza ili ku add his value na kuacha kuwa a romantic nuisance.
duu..iko deep hiiWe komaa kusema mapenz n pesa utaishia kuwahonga wanaume wenzio kupitia gal Wako.. We mpe hela akahonge wenye ufundi wao
We komaa kusema mapenz n pesa utaishia kuwahonga wanaume wenzio kupitia gal Wako.. We mpe hela akahonge wenye ufundi wao
Embu tusaidiane mawazo kwa hili wana jamvi,
Hivi kati ya mapenzi ya kweli na pesa ni ipi nguzo kuu ktk mapenzi ya cku hizi...???
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums