Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Hayo mgorofa mnayosema mnayatafuta ni kama akiba tu. siku ukampata mpenzi unayempenda bahati mbaya akaugua tatizo kubwa na mbona utamgharimia mpaka hayo magorofa utayaweka bond kama sio kuyauza ili kunusuru uhai wake uendelee kumuona.
 
huo ni ujasilia mali wa asili, mtaji ni nguvu zako mwenyewe
 
Kuna asilimia tisini ya ukweli katika hii kwa kizazi cha leo. Bila Pakee/Pesa/Mpunga utaishia kuwaita wanawake wote shemeji hapa mjini
 
maua hata shambani yapo. kwanza kujaziana matakataka tu ndani. pesa is everthing, kuwa bahiri ubaki kuwa shem tena shem mshamba, maana hata shem, kuna shem wa ukwee na shem peleka ujinga huko. hahahaaaaaaa.
 
Mtoto wa kiume anapotoa maneno ya kike ya kupiga mizinga!!



Ama utasingizia umetumwa na dada zako?
 
Mmmmmmn not real ulijali ndo muhimu, pesa hata bank inayo, embu usiwe unadindisha alafu tuone kama hujagongewa demu wako na wenzio ukaachwa na hela zako money is not everything, hela ina sehemu yake na mapenzi yana sehemu yake but sio kilaseemu unaweka pesa mbele aggah
Cc mamaafacebook
 
Last edited by a moderator:
Na ukubali pia kwamba ukipenda pesa sana utajikuta unaingiliwa sehemu zote za mwili zilizopo wazi.
 
Girls / Ladies, this is 2015 hebu sasa muache hii tabia ya pesa pesa pesa... za kupewa na wanaume. Tamaa mbaya. Mnajidhadhalisha. Kuna wengi wamedhalilishwa pia na wanaume sababu ya kupenda pesa kupita kiasi. Credit ya simu upewe, za nywele upewe, kucha upewe, fuel for car upewe, service ya gari upewe na gari uoshewe, come-on..... na mazagazaga mengine kibao. Bado hapo hujamuhusisha kwenye majukumuu ya familia yako, hajakuoa... This is too much...!!!! msomi na degree kichwani, kazi nzuri lakini kutwa kuomba omba, hebu acheni hizo na nyie. mkitoka pia unataka ulipiwe kama ni chakula au kinywaji. Kesho akitutema mnakuja kulia lia hapa... basi ombeni vitu vya maana.. kama unaona mtu wako ana uwezo huo e.g. "nimeona kiwanja, naomba niongezee maana nimepungukiwa", kama unajenga, omba hata pesa ya mchanga cement, matofali... n.k. vitu vya maana sio pesa ya kodi na pesa za salon. Ina maana wewe maisha yako yote ni kupanga nyumba na kujiremba? kwa style hiyo nani atakuweza. Na nyie wakaka / wababa hebu amkeni sasa acheni kutoa hivyo visenti mbuzi. atanuna tu usipompa lakini mwisho wake ataongea.
 
Kwa staili hiyo maskini wasingeoa au kuwa na wapenzi. Inategemea unataka/pata mke/mwanamke wa aina gani.
Kuna asilimia tisini ya ukweli katika hii kwa kizazi cha leo. Bila Pakee/Pesa/Mpunga utaishia kuwaita wanawake wote shemeji hapa mjini
 
Girls / Ladies, this is 2015 hebu sasa muache hii tabia ya pesa pesa pesa... za kupewa na wanaume. Tamaa mbaya. Mnajidhadhalisha. Kuna wengi wamedhalilishwa pia na wanaume sababu ya kupenda pesa kupita kiasi. Credit ya simu upewe, za nywele upewe, kucha upewe, fuel for car upewe, service ya gari upewe na gari uoshewe, come-on..... na mazagazaga mengine kibao. Bado hapo hujamuhusisha kwenye majukumuu ya familia yako, hajakuoa... This is too much...!!!! msomi na degree kichwani, kazi nzuri lakini kutwa kuomba omba, hebu acheni hizo na nyie. mkitoka pia unataka ulipiwe kama ni chakula au kinywaji. Kesho akitutema mnakuja kulia lia hapa... basi ombeni vitu vya maana.. kama unaona mtu wako ana uwezo huo e.g. "nimeona kiwanja, naomba niongezee maana nimepungukiwa", kama unajenga, omba hata pesa ya mchanga cement, matofali... n.k. vitu vya maana sio pesa ya kodi na pesa za salon. Ina maana wewe maisha yako yote ni kupanga nyumba na kujiremba? kwa style hiyo nani atakuweza. Na nyie wakaka / wababa hebu amkeni sasa acheni kutoa hivyo visenti mbuzi. atanuna tu usipompa lakini mwisho wake ataongea.[/QUOTE]

bado nikuomba pesa sema matumizi tu yanatofautiana ............ pesa muhimu kuomba hata uwe nazoi pesa ya mwanaume tamu bwana
 
pole sana kijana mwenzangu kwa kujiaminisha hivyo wakati sisi tunawala bila bugdha,
speaking from xperience
 
Mmmmmmn not real ulijali ndo muhimu, pesa hata bank inayo, embu usiwe unadindisha alafu tuone kama hujagongewa demu wako na wenzio ukaachwa na hela zako money is not everything, hela ina sehemu yake na mapenzi yana sehemu yake but sio kilaseemu unaweka pesa mbele aggah
Cc mamaafacebook

Umeongea point sana.Money can't buy our happiness.
 
Last edited by a moderator:
majini wanyonya damu kabisa huku anakuita baby,baby, swit, honey. Hawa wa mjini ukioa unanunua na bunduki ndio maana nilienda kuchukua mwanamke safi shambaaa
 
Back
Top Bottom