Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

sijui kwani nini mi hili swali silipendi yani limekaa kishambakishamba sana ni kama limepitwa na wakati vile
 
Pesa na chachu tu katka mapenzi
Though mambo yamechange sikuhizi hapendwi mtu inapendwa pesa yake
 
Mapenzi ya dhati yanamata lakini security financially muhimu pia
sio bebi anaomba hela ya saloon hata elf 20 kidume hauna si aibu hyo
 
Wanao taka pesa wote wakaolewe na M-pesa au Tigopesa coz mapenz haya vutwi kwa ATM but hela zinatumia ATM So tofauti san
 
Nguzo kuu ni Mapenzi ya Kweli. Pesa ni ya mwisho kabisa. Trust Me. Na pesa hailindi Penzi hata sikumoja. Kama MTU Anakupenda Kweli.. Hatajali Pesa atakupenda jinsi Ulivyo aidha unakitu au Huna kitu. Wanaume wengi tumejijenga kifikra kwamba wanawake wanapenda Pesa. Lkn hatutambui kuwa ni sisi tumewazoesha pesa. Mpenzi wako atakua jinsi Utakavyo Muongoza awe coz wewe ni kiongozi katika Mahusiano yako. True Love is More than Money Men Trust Me. Hajakuomba hela we Unamzoesha hela.. Ts Obvious ukimzoesha pesa atakuampenda pesa. Mbaya zaidi atakuwa Mvivu wa kufikiri namna na njia halali za kupata pesa. Siku usipokuepo nini kitaokea kama umeshamlemaza?
 
mi awe romantic anajua kujali aaaahhhhk, hela kidogo ya matumizi sio empty kabisa
Hapo umenena,mapenzi yanakua proved na pesa ,sa mtu anakuuliza umekula???what for kama hufinance msosi wenyewe?au nakupenda mara 60 kwa siku while vitendo huoni,to hell
 
Embu tusaidiane mawazo kwa hili wana jamvi,
Hivi kati ya mapenzi ya kweli na pesa ni ipi nguzo kuu ktk mapenzi ya cku hizi...???

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mbona hueleweki?

Mapenzi yawe nguzo ya mapenzi kiaje?

Unajua maana ya mapenzi?
 
We komaa kusema mapenz n pesa utaishia kuwahonga wanaume wenzio kupitia gal Wako.. We mpe hela akahonge wenye ufundi wao

Wanawake bana mnafurahisha sana na kushangaza at the sane time ....

Ufundi ulishawahi kusaidia kwenye mahusiano yapi?

Kwenye mahusiano kuna kitu mnakihitaji lakini bado hamjakijua tu nyie .....

Waliofanikiwa wametulia angalau,kama hujui unataka nini utatangatanga dunia nzima japokuwa utakutana na hao unaoita mafundi ......

Wake up ...!!
 
Mapenzi ya kweli ni nini?

Mapenzi ya kweli enzi hizo ni kuvumiliana kwenye shida na raha na kutokusalitiana izo ni enzi za mababu zetu miaka ya 1960 urudi nyuma.
Kwa miaka ya sasa mapenzi ya kweli ni kutokusalitiana baaasi na kujalianaa kwenye shida na raha i gt a problem unatakiwa unisaidie.
Kwa nini nimesema hakuna mapezi ya kweli bila pesa?
Pesa sio mapenzi lakini zinang'arisha mapenzi. Wew huwezi niambia umeoa huna hela basi mkumbatiane mlale njaa kisa mnapendana.
Cha zaidi utavumiliwa siku ya kwanza na ya pili siku ya tatu mtalala mzungu wa nne siku ya tano atafungasha arudi kwao...
Kubali kataa hapana true love bila neema ya chapaaa
 
Dia asikuambie mtu mapezi ya kweli bila pesa hakunaga.

Hizo post zote umeandika wewe?
 
Back
Top Bottom