mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Kaka unaweza kukosa mpenzi wa kweli na ukaishia kupata sex partners na ukadhani ndio penzi lenyewe ukisha kuwa na PESA tofautisha na hela ya matumizi!!!Game inabadilika utakutana na wenye pesa wenzako ambao hawajali kitu kinaitwa mapenzi wao wanataka hapiness na freedom baas!!!
Angalia mifano ya masuperstar wengi achana na hawa wa hapa kwetu "camera popular" wengi wanashindwana!!!!
Omba upate mpenzi akukubali ulivyo halafu ndo mpunga uchanue,hapo ni kuandika wishes na kuanza kutimiza tuu!!!!
umenena ndg yangu OLESAIDIMU, sina cha kuongeza mkuu
Last edited by a moderator: