Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Wanawake bana mnafurahisha sana na kushangaza at the sane time ....

Ufundi ulishawahi kusaidia kwenye mahusiano yapi?

Kwenye mahusiano kuna kitu mnakihitaji lakini bado hamjakijua tu nyie .....

Waliofanikiwa wametulia angalau,kama hujui unataka nini utatangatanga dunia nzima japokuwa utakutana na hao unaoita mafundi ......

Wake up ...!!


Hilo Ni kuhusiana na wewe nilishaamka kitambo na najua nini nafanya nini nataka
 
Hii slogan huwa inanifanya niwe mchoyo sana.

Kutoa ni moyo,ila kwa hili mi ntatumia maini mpaka naingia kaburini.sina moyo.


Mkuu unaweza kumpaa gal Wako hela kwakuona Ana stahiki Tu jumps maybe imsaidie sku mbili tatu hela Ni kiongezeo Tu
 
mi awe romantic anajua kujali aaaahhhhk, hela kidogo ya matumizi sio empty kabisa

Ewaaaaaaaaaaaaaaaa umempata ni PM...! Mi nna mapenzi ya kweli viuchambiuchambi vya kubadilishia mboga si haba maufundi ndo utakimbia kabisaaaa...!
 
We komaa kusema mapenz n pesa utaishia kuwahonga wanaume wenzio kupitia gal Wako.. We mpe hela akahonge wenye ufundi wao

Shikamoo madame lavuuu huu machi moa endi moa ageniiiiii!
Via uvinza road!
 
Wote mko sahihi. Ila kwa uzoefu wangu zamani pesa ilikuwa haijatawala sana kama siku hizi. Lakini kuna sababu inayofanya hali hii. Zamani hatukuwa na matumizi mengi ya pesa kama sasa. Mfano mabinti hawakuwa na saloon za gharama kwenda nk. Lakini Embu fanyeni utafiti mhakikishe ukweli? Mwenye mpenzi kauka usimpe matumizi halafu utuletee matokeo.
 
Sijaelewa kiasi cha pesa kinachozungumziwa hapa ambacho natakiwa niwe nacho ili mpenzi asinikimbie.
 
Hhahhhahaah mapenzi sio pesa wala sio sex | Wenye pesa wametoswa vile vile | Na wenye kuhis mapenzi ni sex daily pia wamekuja realize sio kweli mapenzi ni mtu tu aamue kujitoa ufaham akupende ulivyo | Swala ni kua mpole tu
 
Back
Top Bottom