Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

tatizo wanawake wa siku hizi unakuta anawaza awe na maisha mazuri wakati huo hana kazi kwahiyo ww ukijishoboa inabidi ww ndio umtimizie ndoto zake zote halafu kwa mda mchache sana siku akikwambia ninulie kitu flani ukisema hela sina utasikia mm nilkua nakujalibu tu kama unanipenda basi mahusiano yanaweza kuuishia hapo kama huna pesa mapenzi hayawezi kuonekana
 
KUPANGA NI KUCHAGUA...DUNIA..NI HURU...ALIMURADI USIMLAZIMISHE MTU KUISHI UPENDAVYO/UTAKAVYO WEW.

Mambo yote haya ni ya Mungu....huna sababu ya kunung'unika ama kulalanika. Mungu kaumba vitu vyote na kasema vyote ni vizuri. Amekupa akili, nguvu na uwezo wa kutawala. JIKADIRIE KIASI CHAKO...NAMI NAJIKADIRIA KIASI NIKIWEZACHO.....xafiiiiii.!!!
 
Kama huna hela kwa nini utafute mwanamke? Anahitaji kula,kuvaa,kwenda salooon kujirembua,kulala pazuri n.k kote huko kunahitaji hela.

Hela kama huna usilaumu wanawake laumu upumbavu wako uliosababisha uwe lofa usiyekuwa na hela.Katafute hela kwanza ukipata ndio ukatafute mwanamke vinginevyo nunua kufuli kubwa funga hilo dude lako lililo katikati ya mapaja usubiri hadi upate hela.

Hahaaaa hii nimeikubali!
Nashukuru kuzaliwa mwanamke
 
Mwanaume nguvu za kutafuta pesa huna za kufanya mapenzi na kukaa kwenye kiuno cha mtoto wa watu masaa 5 unazitoa wapi??ndo maana siku hizi tunalipia service charge ht km ni girlfrnd wako..no free lunch😭😭😭

♥♥♥
Hahaaaa
 
Cyo kali ya mwaka! Usipoijua historia ya ulimwengu....utaona ni kali ya mwaka. Waasisi wa history ni vitabu vitakatifu..Ukivielewa, wala hupati tabu ktk hii dunia na wanadunia. UNAJISEVIA TUUU.

Mwanaume ATATAFUTA KWA JASHO....na Mwanamke ATAZAA KWA UCHUNGU. Hii ndio LOGIC yenyewe. Madem wata-depend kwa wanaume...allways and forever. Wanaume tutatafuta chapaa...tutawapa madem nao watufariji/ watuburudishe kwa KUM*. Huwezi kubadili hio system aliyoiweka mkuu...never! LAZMA JASHO LAKO LILIWE NA LADIES..utake/usitake.

Vingnevyo uwe shoga men/ huyo nyoka wako asipande mtungi. USISUMBUE KICHWA NA HILI....toa hela, wape girls nao watakupa K.
 
Kuoa itabaki historia wanawake wanamahitaji mengi na hats ukiyatimiza bado masela watakupigia tu becoz women are no sutified
 
Nikionacho mimi kwenye mapenzi ni kwamba watu hasa sisi wanaume tunapenda kutumia neno hela badala ya huduma.kitu unaposema cha kwako basi huna budi kuwajibika nacho.mfano nyumba yako ina ufa au gari lako limepata hitilafu hutaliacha lijihudumie lenyewe hapa kuna mengi ya kuelezea lakini tu niishie hapa kwa kuomba badala ya kusema mapenzi bila pesa hayaendi tuseme mapenzi bila kuhudumia hayaendi

Comment imeshiba!
Miss Chagga Khatwe
 
Sahihi kabisa. Wew demu tumia hela ya bwanako kadri unavojaaliwa fursa...na ujue utaifidia kwa kuukalia on bed na kutoa sauti za miguno ili kumpooza bwanako machungu ya kutafuta hela. Kwa hela ninazokupa ndo uwe msafii mwili, mavazi, nyumba yako na iyo pango iwe very clean. MBONA NYUKI TUTAFUATA UA!!! Boresha kwa kuongeza maarifa ya mikao ya kihasara kwa men wako....MWANAMKE AKIJIJUA SAWASAWA....ATAKULA MTERREMKO HADI CKU YA KUFA KWAKE....wala ngumi au kofi kutoka kwa bwana hatolipata.

Mwanamke ni kujipamba
 
Mwanamke ni urembooo, usafiiiiii, mapishiii na KUKURUKA..mwanzo...mwenga. HABARI YA MIMBA..wao wanao uwezo wa kudaka ama kupangua. Sisi haituhusu. ILA TUNAPOTAKA MTOTO...NDO TUNA- ORDER. Me nataka unizalie mtoto sasa. KWISHNEY.
 
Sawa nitajitahidi, lakini wewe mwanamke unapungukiwa nini kutafuta pesa, mpaka ugeuze sehemu yako ya siri kuwa duka la wanaume? Je, huoni unapoteza thamani yako?
^^

wewe huna sehemu za siri??? Nawe pia si duka la wanawake??!!! M/mke anapokufunulia wewe unafunika? Ungekuwa nearby ningekupa kwenzi
 
Yaani siku hizi mwanaume kama huna hela wanawake wazuri na warembo utabaki kuwaita mashemeji tu... hivi sababu hasa ni nini ... ni ulimbukeni wa wanawake au ni ugumu wa maisha!?
Kumiliki mwanamke bila kuwa na pesa ni shida tu mkuu, just imagine unaishi katika nyumba ya familia, pesa huna unahitaji mwanamke, utampeleka wapi, kumbuka mnahitaji meetings either za ngono au justnormal meetings, mtakutana wapi, au ndio mwanzo wa kuombana papuchi uchochoroni usiku, kama sijauelewa uzi wako vizuri utanifafanulia ndugu, ni hayo tu.
 
Na kwanin usiwe na hela??? Au bado ni hujaanza kujitagemea??? Hata house boy ana hela.

Hapa ni mahusiano ya watu wazima wenye uwezo wa kujitegemea na kutarajia kumpata she unayeridhika naye wewe uishi naye kama mpenz ama mke, Lazima uwe na hela kwa ajili ya mahitaji yako na yake. Xo, utampata mwanamke umtakaye kwa kubalance uwezo wa kujitegemea wako, muonekano wako kama mwanaume, na kujiamini kwako unapokuwa naye. Kama hujiamini ila una hela...utampata umpendaye lakn hakupend...anapenda hela yako...na usipojiangalia pia atakuzalishia jirani...coz she vinasaba vya baba asiyejiamini. Asiyejiamini...hanaga msaada.
 
Back
Top Bottom