Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
Last edited by a moderator:
ukitaka kula sharti uliwe na wewe we unataka kula tu haiwezekani
sosi:- JK
yaaani siku hizi mwanaume kama huna hela wanawake wazuri na warembo utabaki kuwaita mashemeji tu... hivi sababu hasa ni nini ... ni ulimbukeni wa wanawake au ni ugumu wa maisha!?
mwanaume PESA, SURA tutavumiliana
kwani Sisi Tunakula Nini Kwao?
Kwani Ya Kwetu Haijaumbiwa Mlaji?
kwani Sisi Tunakula Nini Kwao?
Kwani Ya Kwetu Haijaumbiwa Mlaji?
Wanakuambia mwanaume asiye na CHAPAA (hela) ni sawa na baunsa( mnyanyua vitu vizito) awe SHOGA .........misuli yooote useless.
Yaani siku hizi
mwanaume kama huna hela wanawake wazuri na warembo utabaki kuwaita
mashemeji tu... hivi sababu hasa ni nini ... ni ulimbukeni wa wanawake
au ni ugumu wa maisha!?