Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mwanamke anapendwa kutunzwa,ila sidhani kama anakua anapenda pesa bali matumizi ya pesa,ila inawezekana kabisa kumpenda mtu asie na pesa,tatizo lazima itafikia hatua atataka ugharamike juu yake,hapo sasa ndo utata unapoanza!

Naona unaongea from experience... dont u? anzisha uzi kabisa
 
mwanaume pesa wewe sura hukohuko kwenye picha na tabia kwa wazazi wako. loo.

usipokuwa na hela maisha hayaendi. hivi unafikir ukiwa na sura ukienda buchani unaweza kusema "naomba kilo 3 za nyama mme wangu ni handsome" mkuu wa shule mpokee mtoto wangu aanze shule maana mme wangu ni handsome! ankara tuu

Zenu mnapeleka wapi? Halafu, thamani yenu na nyanya itatofautishwa na nini?
^^
 
Kama huna hela kwa nini utafute mwanamke? Anahitaji kula,kuvaa,kwenda salooon kujirembua,kulala pazuri n.k kote huko kunahitaji hela.

Hela kama huna usilaumu wanawake laumu upumbavu wako uliosababisha uwe lofa usiyekuwa na hela.Katafute hela kwanza ukipata ndio ukatafute mwanamke vinginevyo nunua kufuli kubwa funga hilo dude lako lililo katikati ya mapaja usubiri hadi upate hela.

You're So Rude and Harsh My Dear!
 
Sawa nitajitahidi, lakini wewe mwanamke unapungukiwa nini kutafuta pesa, mpaka ugeuze sehemu yako ya siri kuwa duka la wanaume? Je, huoni unapoteza thamani yako?
^^
 
Zenu mnapeleka wapi? Halafu, thamani yenu na nyanya itatofautishwa na nini?
^^

tatizo wanaume mnataka wanawake wawe kama malaika cjui. oonh demu wangu nataka apendeze sawa maana kupendeza kunamfanya mtu awe namvuto kwa mtuye.
but shida inakuja mara unataka vyakula vitamu, nyumba ipendeze, mashuka masafi ( ili utandike shuka jipya after 2 days lazima uwe nayo mengi) ili uweze kumhudumia mwanaume anavyotaka inabidi awe na mkwanja alete hivyo vitu mi nibaki kuviandaa.
Halafu ukimpa bure hatulii bora akulipe kabisa hata akiondoka umefaidi japo pesa. ( natania)
 
Jukumu la mwanaume kumhudumia mwanamke lilianza tangu kuumbwa kwa dunia tofauti ni kwamba...zamani mahitaji yalikuwa yanapatikana bure sasa hivi mahitaji yanapatikana kwa kubadilisha na vipande vya sarafu........

Kwa hiyo ni halali mwanamke kujiuza kwa mwanaume? Hakuna vyanzo vingne vya yeye kujipatia mahitaji yake?
^^
 
Kama huna hela kwa nini utafute mwanamke? Anahitaji kula,kuvaa,kwenda salooon kujirembua,kulala pazuri n.k kote huko kunahitaji hela.

Hela kama huna usilaumu wanawake laumu upumbavu wako uliosababisha uwe lofa usiyekuwa na hela.Katafute hela kwanza ukipata ndio ukatafute mwanamke vinginevyo nunua kufuli kubwa funga hilo dude lako lililo katikati ya mapaja usubiri hadi upate hela.

Tatizo Wanawake Hawaridhiki Unaweza Ukawa Na Pesa Ambazo Zinamtosheleza Kwa Kila Kitu Japo Sio Kwa Gharama Sana But Still wakipata Mtu mwenye Pesa Kukuzidi Anakutema tu.Inabidi Nanyie Mjifunze Kutafuta Ila Sio Kwa Njia Hyo Mkiendekeza Ivo Tutakua Tuna wala Mpaka Basi
 
Kwa hiyo ni halali mwanamke kujiuza kwa mwanaume? Hakuna vyanzo vingne vya yeye kujipatia mahitaji yake?
^^
Mkuu utakuwa umeninukuu vibaya.....nimezungumzia kumhudumia sio kumnunua....ukiwa na mwanamke anayekidhi mahitaji yako ya kimwili basi huna budi kumhudumia kwa kuwa ni ufahari kwa mwanaume kumtimizia mwanamke mahitaji yake....yakiwamo hayo ya kifedha........machangudoa hawahudumiwi isipokuwa wana nunuliwa.....namaanisha huduma yao wanaiuza.......
 
tatizo wanaume mnataka wanawake wawe kama malaika cjui. oonh demu wangu nataka apendeze sawa maana kupendeza kunamfanya mtu awe namvuto kwa mtuye.
but shida inakuja mara unataka vyakula vitamu, nyumba ipendeze, mashuka masafi ( ili utandike shuka jipya after 2 days lazima uwe nayo mengi) ili uweze kumhudumia mwanaume anavyotaka inabidi awe na mkwanja alete hivyo vitu mi nibaki kuviandaa.
Halafu ukimpa bure hatulii bora akulipe kabisa hata akiondoka umefaidi japo pesa. ( natania)

Kwa ufupi, mnauza huduma, mpate mahitaji?
^^
 
Mkuu utakuwa umeninukuu vibaya.....nimezungumzia kumhudumia sio kumnunua....ukiwa na mwanamke anayekidhi mahitaji yako ya kimwili basi huna budi kumhudumia kwa kuwa ni ufahari kwa mwanaume kumtimizia mwanamke mahitaji yake....yakiwamo hayo ya kifedha........machangudoa hawahudumiwi isipokuwa wana nunuliwa.....namaanisha huduma yao wanaiuza.......

OK, Lakini kwani kujiuza mwanamke mpaka ajipange barabarani? Vipi kuhusu hawa wanaoendesha 'huduma' kimya kimya ili wapate pesa?
^^
 
Back
Top Bottom