Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kama huna hela kwa nini utafute mwanamke? Anahitaji kula,kuvaa,kwenda salooon kujirembua,kulala pazuri n.k kote huko kunahitaji hela.

Hela kama huna usilaumu wanawake laumu upumbavu wako uliosababisha uwe lofa usiyekuwa na hela.Katafute hela kwanza ukipata ndio ukatafute mwanamke vinginevyo nunua kufuli kubwa funga hilo dude lako lililo katikati ya mapaja usubiri hadi upate hela.

Mmmh!!! hatarii.
 
Mwanaume nguvu za kutafuta pesa huna za kufanya mapenzi na kukaa kwenye kiuno cha mtoto wa watu masaa 5 unazitoa wapi??ndo maana siku hizi tunalipia service charge ht km ni girlfrnd wako..no free lunch😭😭😭
 
Ila mimi ngekuwa mwanaume hahahahaaa hizi habar za kutoa pesa ni shida?????? Hela yangu naioneaje uchungu mmmhhhh sijui ingekuaje mtu anapiga kizinga kimeshiba hatar
 
Nikionacho mimi kwenye mapenzi ni kwamba watu hasa sisi wanaume tunapenda kutumia neno hela badala ya huduma.kitu unaposema cha kwako basi huna budi kuwajibika nacho.mfano nyumba yako ina ufa au gari lako limepata hitilafu hutaliacha lijihudumie lenyewe hapa kuna mengi ya kuelezea lakini tu niishie hapa kwa kuomba badala ya kusema mapenzi bila pesa hayaendi tuseme mapenzi bila kuhudumia hayaendi
 
uwo ujinga tu wanawake baadhi hawajieshimu hivi amuwez hanza bila pesa baadae hacha ukimkuta mwanamke anazo psa jua mateso ingawa utaenjoy kwa muda
 
Kama huna hela kwa nini utafute mwanamke? Anahitaji kula,kuvaa,kwenda salooon kujirembua,kulala pazuri n.k kote huko kunahitaji hela.

Hela kama huna usilaumu wanawake laumu upumbavu wako uliosababisha uwe lofa usiyekuwa na hela.Katafute hela kwanza ukipata ndio ukatafute mwanamke vinginevyo nunua kufuli kubwa funga hilo dude lako lililo katikati ya mapaja usubiri hadi upate hela.

Utabaki hivyo hivyo, sisi tunawapangisha foleni hao mademu huku ghetto, tena mademu wa hao 'wenye nazo'.
 
Ugumu wa maisha mkuu ndio unao wachanganya
Ugumu wapi?

Ni tamaa tu zilizopitiliza.

Mbona watu wa zamani walikuwa wanaanza hawana kitu, maisha ya kawaida sana kisha baadae wanakuja kurekebisha
 
Kila mwanamke anapenda hela na si vibay kutoa huduma kama unampenda. Labda tatizo kama ni tamaa iliyopitiliza badi hilo.ni tatizo.
 
Ntakuuhudumia,ila usitegemee sana msaada wangu,mi sio mzazi wako,na sifikirii kama kuwa na wewe ni kama kujenga nyumba,kwamba nadaiwa vifaa na hela ya fundi.
Halafuu!!kwani baba ako hakukufundisha tabia ya kujitafutia vyako,kwa mikono na akili yako??

Unyweshwe,
Uvishwe,
Ulishwe,
Usafirishwe,
Urembwe,
Ujengewe.na mwanaume.

Hata nikitafuta pesa.sitafuti ili nije nile warembo,NO,naandaa future yangu ya uzeeni.nikitaka mrembo naenda kimboka,tunabadirishana.

Alafu mi ni mchoyo wa pesa kwa demu sababu,inwezekana kabisaa nikampa demu pesa na mazaga kibao hadi usafiri,na nyumba nikampangia.akaliwa na mpaka rangi kucha.lakini pamoja na ukauzu nilionao bado nawala mademu wakali,
 
Wengi wao kwao masikini sana. Ogopa kutoka au kuoa masikini utajuta sana
 
Ntakuuhudumia,ila usitegemee sana msaada wangu,mi sio mzazi wako,na sifikirii kama kuwa na wewe ni kama kujenga nyumba,kwamba nadaiwa vifaa na hela ya fundi.
Halafuu!!kwani baba ako hakukufundisha tabia ya kujitafutia vyako,kwa mikono na akili yako??

Unyweshwe,
Uvishwe,
Ulishwe,
Usafirishwe,
Urembwe,
Ujengewe.na mwanaume.

Hata nikitafuta pesa.sitafuti ili nije nile warembo,NO,naandaa future yangu ya uzeeni.nikitaka mrembo naenda kimboka,tunabadirishana.

Alafu mi ni mchoyo wa pesa kwa demu sababu,inwezekana kabisaa nikampa demu pesa na mazaga kibao hadi usafiri,na nyumba nikampangia.akaliwa na mpaka rangi kucha.lakini pamoja na ukauzu nilionao bado nawala mademu wakali,

Naimani huwali bure.
 
DUNIA HURU HII...Huyu jamaa system kutunza mke na bado akawa anapata stress kwa kuwa mke analeta mashauzi ya mara hiki, mara kile...amaeona maisha hayo hayana tija kwake...amegundua hawa wanawake ni mizigo mizito na vile vyoote unavyomhudumia...bado analalamika.

Madai yake...nguvu yoote anayowekeza kwa mke na bado mke hajitumi kumpa faraja...ya nini tabu ya kuoa??? Yanin kupigizana kelele??? Yanin stress za kumegewa??? Mtu huyo huyo mmoja daily. AMEGUNDUA KUOA NI HASARA...Ameamua kwa kuwa wanawake wanapenda hela...na daily hela haziwatoshi...ATAWANUNUA ANAPOHITAJI HUDUMA TU. Na atajichagulia wa kummega vile atakavyo. Atabadili cku zote..Hatagombana na mtu... Ameamua maisha haya..kwake yana unafuu mkubwa na ana enjoy.
 
Last edited by a moderator:
Unatoa Hela Alafu ----- Mwingine Anampa Bureeeeeee Huo Si Ungese
 
Unatoa Hela Alafu ----- Mwingine Anampa Bureeeeeee Huo Si Ungese

Tehh tehh tehh

Halafu watu wanajifariji,eti ukiwa na pesa utapewa papuchi yoyote.my foot.

Unanunua hiyo kwa garii,simu za mil,nyumba,viwalo,brazilian hair,viwalo vya bei kali.

Afu kuna panya road anafumua bure tena kwa kubembelezwa.wadada!!!!!!acha kabsaaaaa.
 
Back
Top Bottom