Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Umeshasema anauwezo wake ni wazi alichokosa ni mapenzi sasa unachotakiwa ni kumpenda bila kujali grade yako.
 
umeona eh jamaa ni mwandishi wa stori wa RJ Company

teh..yan haka kastory kamekaa kibongo movie iv..et akapigwa kofi paaa...mmh labda imaginations..jana katoka safar akatupa update za mkewe,leo kuna dem anampenda..wap na wap apo?
 
Zali la Mentali!!!!!! Akunaga hiyo makitu wewe..... ni bongo flavor Mkuu! Mpe demu mimba uone.....
 
Habari zenu?hamjambo wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa "tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.

good topic..

but try to be neat next time you bring a thread!!!

HUJUI KUPANGILIA MAANDIKO!
 
usibweteke bro unamridhisha tu yeye akimaliza utajuta ishatokea demu akipenda yeye kuwa nae makini sn atakuliza tu pesa ni kila kitu bro
 
Habari zenu?hamjambo wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa "tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.

kweli wewe zoba.....hujaona tu matunda ya kuzidiwa kipato a.k.a kuolewa...ndio vishaanza hivyo inabidi uwe mvumilivu sana......
 
Back
Top Bottom