Aliekwambia mapenz hayahitaji pesa kakudanganya!!!
Thus why hao mashabiki waliokudanganya wamekimbiza ushabiki wao!
....
Let me tell u something,,,
Pesa inanafasi kubwa sana ktk maisha yetu!
Hakuna kiendacho bila pesa! Just think ktk familia yenu tu! Hakuna wakubwa wanaoonekana wadogo coz of manee?
Hakuna wadogo wanaoonekana wakubwa coz of manee?!!!
...
Pesa inayohitajika katika penzi(not about husband and wife) ni LAZIMA izingatie hali ya MTOAJI + hali ya MPEWAJI!
Huwezi kukachukua katoto ka watu kamezoea raha,
kamezoea pesa,
kamezoea vitu vya thamani! Afu wewe mbuturi matari unataka kawe kapenzi kako hako!
Na ikiwa huyo ke mwenyewe kwao pangu pakavu! Hapa penzi bila pesa haliendi kabisaaaaa!
But huyu akikudai mambo makubwa harrrrraka sana weka kwenye dustbin!!!!
Mi nilijua anataka vitu muhimu eg: matibabu or masomo! Pumba.v zake!
Haya achana na pasua kichwa huyo!