Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Habari zenu?hamjambo wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa "tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.
 
ndio yana raha yake hongera kwa kupendwa bana nimpatie no ake ya simu nimpe mawaidha. Aha aha aha natania bwana.
 
hongera ili ushauri tu, piga kazi uinue kipato chako ili kuondoa "inferiority complex" ambayo wanawaume wengi huwa nayo hasa wanapozidiwa kipato na wake zao.
 
Habari zenu?hamjambo wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa "tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.

angalia isijekuwa tamthilia ya kifilipino?
 
Brother hapo umeolewa wewe, subiri umzalishe halafu utaona command zitakavyokuwa zikikuzonga tena usishangae ukawa mtumwa.Wanawake ni viumbe wa ajabu tunapaswa kuishi nao kwa akili Mwenyezi Mungu anasisitiza hilo.

Wanawake wote wanapenda pesa na ndio maana kwenye uchaguzi wao wa uchumba utasikia.

1. Awe na future.
2. Awe anayejitambua.
3. Awe na mapenzi ya dhati.
4. Awe anayejituma.

Vitu vyote hivyo vinaashiria pesa.Unazabwa kibao halafu unajisifu ana mapenzi ya dhati ingia kwenye ndoa uone atakavyokuburuza.Tafuta wa kufanana nawe.
 
4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5 Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, 6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. 7 Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote. (1 wakorintho 13)

NI NINI NAFASI YA PESA HAPO JUU????

Habari zenu?hamjambo wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa "tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.
 
ni kweli amekupenda kumbuka kipya kinyemi...... tafuta hela kwa bidiii hiyo kitu aipo kabisa mkuu ..... mapenzi ya mwanzo ahadi nyingi ngoja ule mzigo mara tatu utasikia hali ya hewa si shwari ni mawazo yangu..... TAFUTA PESA NARUDIA TENA TAFUTA HELA...
 
While it is such a nice experience, ahead at the horizon dawns the challenges that go down the road of reality in what we call 'relationships mother nature' where a lion is as has always been the 'hunter'.

U may choose to enjoy it while it lasts
Or wake up and start running as it goes down in Africa.
 
Habari zenu?hamjambo
wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine
too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba
nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile
yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa
kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa
"tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu
wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia
kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next
level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha
usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya
tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa
unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha
mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi
yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba
nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua
kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu
iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani
nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona
mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa
mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA
PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi
motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu
mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.

we si unamke..uliemwekea video camera kwenye ceiling board ama ulitunga ile story
 
Habari zenu?hamjambo wote?i hope you are all fine.isnt it? Ok,i'm fine too.Well,yes,yeah,well,yes,yes,ni kwamba mpaka sasa hivi siamini kwamba nimependwa na binti mrembo,mzuri na wakuvutia kwa sura na maumbile yake,mwenye kazi nzuri na ana drive,huku mimi kabwela wakutupwa kamshahara kangu hata laki sita hakafiki,kapikipiki kangu,kanaitwa "tembea na spana mkononi"kamechakaa ile mbaya,ila kwa ukabwela wangu wote huu nilionao,binti bado kaning'ang'ania kama ruba.Huwa namwambia kabisa,mama mimi sina hadhi yakuwa nawewe,yaani wewe ni next level,sitakumudu.Baada yakumwambia haya maneno,alinipiga kibao cha usoni,akitamka maneno haya"rubbish!sitaki nisikie unaongea maneno haya tena,mimi nimekupenda kama ulivyo,hebu jiamini mtoto wakiume,umependwa unaanza kujishtukia?Siku nyingine ukiongea maneno kama haya,utakiona cha mtemakuni".Dah!binti baada yakuzungumza maneno haya,niliona machozi yakining'inia mashavuni,nilimpangusa,na nikamwambia kwamba nimemuelewa,huku nikimvuta taratibu nakumtuliza kwenye kakifua kangu,ambako hakana swaga,ila ndo kamependwa hivyohivyo.Akili yangu iliruka,nikajihisi nipo ulimwengu mwingine,sikuamini nilichokiona kwani nimeokota dodo kwenye mkaratusi.I thank God the almighty kwa kuniona mimi mwanaume dhaifu,ambaye nimetendwa mara kadhaa,na mabinti wa mujini,a.k.a ma service suppliers.SEMA KWELI NITAKUWA MAKINI KULINDA PENZI LANGU.Sasa naona kama napaa,yaani we acha tu,mtoto ananipa mapenzi motomoto,mpaka nahc president yupo chini yangu,yaani ni ulimwengu mwingine kabisaaa.Mapenzi ya dhati,yana raha yake jamani.
Mkuu imenichekesha sana coz unaonesha ni namna gani ulivyokuwa umejisusa halafu ukaja ukapata mtoto mzuri. Sir god alikuonea huruma coz umesema ulishatendwa vya kutosha na watoto wa mjini. Ila endelea kumwomba mungu na kumsisitiza mwenzako muwe mnasali ili msije mkaingia majaribuni. Swali: Je mwenzako unavyomwona ana hofu ya mungu?
 
Brother hapo umeolewa wewe, subiri umzalishe halafu utaona command zitakavyokuwa zikikuzonga tena usishangae ukawa mtumwa.Wanawake ni viumbe wa ajabu tunapaswa kuishi nao kwa akili Mwenyezi Mungu anasisitiza hilo.

Wanawake wote wanapenda pesa na ndio maana kwenye uchaguzi wao wa uchumba utasikia.

1. Awe na future.
2. Awe anayejitambua.
3. Awe na mapenzi ya dhati.
4. Awe anayejituma.

Vitu vyote hivyo vinaashiria pesa.Unazabwa kibao halafu unajisifu ana mapenzi ya dhati ingia kwenye ndoa uone atakavyokuburuza.Tafuta wa kufanana nawe.

Ha ha ha ha ha h ah ah ah
 
ni kweli amekupenda kumbuka kipya kinyemi...... tafuta hela kwa bidiii hiyo kitu aipo kabisa mkuu ..... mapenzi ya mwanzo ahadi nyingi ngoja ule mzigo mara tatu utasikia hali ya hewa si shwari ni mawazo yangu..... TAFUTA PESA NARUDIA TENA TAFUTA HELA...

Hapo my dada umeona mbali sana cha msingi apige kazi sana pesa ndo kila kitu asitegee atakuja kuishi kutegemea hela za huyo binti aandike kaumia
 
Mdamu kama hao humegwa sana na wajanja wenye pesa. Kuwa makini. Unadhani hizo bling bling anazokuja nazo, vocha za simu, nauli n.k anatoa wapi?! Usione vyapendeza.

Kuna mtu atakuwa anagharamia.
 
Back
Top Bottom