Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Jamani nimepatwa na mtihani ati nasema nampenda kila siku, lakini nashindwa kumsaidia wakati huu anahitaji msaada wangu zaidi? mapenzi gani haya''! nashindwa hata kumnunulia Samsung galaxy tuweze kuwasiliana whatsapp nashindwa kumpa hela ya shopping kama wenzie wanafanya shopping zizou fasion mlimani city yeye shopping yake machinga complex tuu, ati Mimi mwanaume gani mwanaume suruali? msaada unahitajika hapa Ndugu zangu kuokoa jahazi la mahaba...

Ukinitajia umri wako nitakupa solution ya kudumu na hautosumbuliwa tena na mwanamke yeyote until u rest to the grave yard.
 
mpaka sasa nahitaji msaada niokoe mahabuba wangu mbona wote mnanishauri negative wadau nimuache nimpendae hivi hivi tuu..
 
Ukitaka uishi kwa furaha achana na mambo ya mapenzi. Ukishazoea utaenjoy sana. Mia
 
Mwanamke akikupenda kweli anatakiwa 'akuheshimu'
na kukuheshimu ni pamoja na kujua uwezo wako ukoje na asilete
mahitaji ambayo anajua huwezi kutimiza....

mwanamke asiekuheshimu anakuumiza vipi kichwa?
 
nipe namba yake nimrushie M-PESA au TIGOPESA akafanye shopping
 
Kwa hyo unataka tukuchangie ama??

sio lengo langu mnichangie PESA nataka mawazo yenu mnaosema mapenzi yanawezekana bila PESA sasa inapofikia hali hii nifanyeje?? ukiangalia hapo inahitajika PESA kuweka Mambo sawa,
 
Back
Top Bottom