Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

kwa mtindo huo wewe noma, sasa cm tu unaona ishu, hebu nunua bwana, tena kakuchelewesha kweli hadi umemmega! si umemsoma the boss anakwambia ukitongoza tu unaambiwa cm ya dada. kama huwezi mambo hayo waachie wenyewe, Mla huliwa!
 
mwenzio hata kumega bado naambiwa ninue touch screen kwanza nikaona yeye si anataka simu nikaingiavodacom shop nikanununua vodaphone kale ka simu kao kupeleka ndio siku niliyotoa talaka kabla ya hata kumega majibu niliyopewa kajalibu na wewe
 
Siku hizi Mapenzi Pesa bana..tena ukijiita mtoto wa uswaz ndo kwaanza upewi maana wanajua hauna kitu, we sema kwetu mbezi, Obey, Masaki nk
 
Hivi ikiwa walipewa bure sisi kwanini tununue?? LOL!
 
K haiuzwi wala haitolewi bure...lol

Lol. . kwa kweli sometime i so like that am a woman! we ar real makin it happen!
Mwanaume anafanya kazi ili apate pesa za nn?
Anakula ili apate nguvu za nn?. . utazungukaaaa at the end of the day ili wapate nyapu mchezo? uishi nyumba nzuri ukiwa unapata. . starehe zote end of the day mchezo loool. .
 
Nyapu sio? lol
 
Huo ndio mwanzo! Tena kakuhurumia kukuomba simu! Mbona huyo dada ni mstaarabu sana??
 
Alitaka muwe na mawasiliano ya karibu kuongea kila mnapojisikia au kutumiana text message n.k. ukishamnunulia usisahau na vocha...ndio mapenzi yalivyo bana....Bure ghali!!!

alipomaliza kufanya tu namimi sex kesho yake akaniomba kumnunulia simu, ni mapenzi haya au karaha
 
Utamu wa k shurti uihudumie sasa wewe unataka upewe burebure tu, vya bure havipo, siku hizi ni nipe nikupe
 
Mwambieni huyu, inaonesha ndo kwanza kaingia duniani hajui mipango ya mijini, kuna K ya bure siku hizi, waliooa wenyewe wanazilipia kwa wake zao sembuse wewe unaezini, hebu uko mie....

Mwanamme majukumu na sio dushelele.
 
Back
Top Bottom