Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Hivi kwani wanaume hampendi pesa? do you want to say pesa zipo kwa ajili ya wanawake pekee? Hivi hakuna wanaume walio kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu ya pesa?? All in all hakuna mtu asiyependa pesa tusidanganyane humu!
 
If women wouldn't help men in spending their (men's) money, they (men) wouldn't know what to do with it (money).

Well, not all mabinti wako desperate for money bwana! Lakini wakati mwingine unaogopa mwanaume mzigo, at least he should have a vision for life.
 
Unaumwa wewe! Nani kasema ni mtego usio kwepeka?
Kama ulikutana na wanaokupa everytime you wave your wallet
Basi kuna jina wanapangwa, read my lips: M-A-L-A-Y-A!
If you were looking for a serious relation, mtego wa nini?
Huwezi kupata a decent woman kwa technics zako hizo!
 
mama angu huniambia kila siku, mwanagu tafuta pesa kwanza sasa ivi achana na wanawake, ukizipata watakuja tu wenyewe tena wa kila aina, uwa simuelewi, ila sasa nagundua pesa ndo kila kitu especially when comes to women
 
hamna mwanamke anayetaka mwanaume lofa au asiye na direction in life. hii sio tamaa, ni reality
 
mama angu huniambia kila siku, mwanagu tafuta pesa kwanza sasa ivi achana na wanawake, ukizipata watakuja tu wenyewe tena wa kila aina, uwa simuelewi, ila sasa nagundua pesa ndo kila kitu especially when comes to women

Zingatia sana maneno ya mama yako, ni ukweli kabisaa!! Halafu wasio na pesa huwa wanajipa moyo na msemo wao wa kujifariji "money can't buy love"
 
nakubaliana na wewe, mabinti wote ambao hawauthamini utu wao wala kujali heshima ya mwili wao wananunulika na kusaliti wapenzi wao kirahisi tu kwa pesa! Na wenye pesa nao huambulia mwanamke yeyote yule aliyetanguliza pesa mbele kuliko heshima wala upendo kwa huyo mtu na hivyo kuendeleza mapenzi fake! fake fake fake inatawala mpaka mwisho ....

ndugu yangu, watu wengi walio na pesa huwa hawaamini ktk mapenzi na ndiyo maana wameweza kuwa na pesa, muda mwingi wanafikiria ni vipi watapata pesa, wakati wasio na pesa muda mwingi wanafikiria ni wapi watapata demu mzuri, wenye pesa wengi mapenzi yao huwa si ya kweli, kwahiyo hata demu akitoa penzi feki ndiyo wanafurahia zaidi kwakuwa mara nyingi hawana muda wa kupoteza. Hali halisi ni hivi: ukiwa na pesa huwezi kuwa na mapenzi ya kweli na ukiwa huna pesa unakuwa na mapenzi ya dhati.
 
alipomaliza kufanya tu namimi sex kesho yake akaniomba kumnunulia simu, ni mapenzi haya au karaha
 
Wenzio tunapotongoza tu tunaambiwa 'sina simu hii ni ya dada'
ukitaka mawasiliano ninunulie na tunanunua..

wewe umeambiwa after kupewa tunda na unaona unachunwa?

akinunuliwa na mwingine utalalamika kutuma vocha ????
 
mh...................! Nisamehe kwa kuandika uqweli...... hehehehehehe..........@ Mwali
 
hahahahaaa!!!
Unapenda Bure??.....hata Revola lazima uinunue!
 
Back
Top Bottom