Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

sasa wee unadhani K yatolewa bure...lazima uilipie kwa namna moja au nyingine.

uyu mshamba angeichukua iyo K yake na kuipa mambo bure bila ruksa yake akakushitakiwa mahakaman ndo angeijua thaman halisi ya K kuwa ni zaid ya cm
 
Kwani si umeshakula boksi nyonyoya kama unampenda nunua, simu kitu gani bwana kama unahisi unachunwa unasubiri nini wakati kitumbua ushanywea chai.
 
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wenzio tunapotongoza tu tunaambiwa 'sina simu hii ni ya dada'
ukitaka mawasiliano ninunulie na tunanunua..

wewe umeambiwa after kupewa tunda na unaona unachunwa?

akinunuliwa na mwingine utalalamika kutuma vocha ????
 
mama angu huniambia kila siku, mwanagu tafuta pesa kwanza sasa ivi achana na wanawake, ukizipata watakuja tu wenyewe tena wa kila aina, uwa simuelewi, ila sasa nagundua pesa ndo kila kitu especially when comes to women

Mama yako alikwambia ukweli mtupu na kwakua yeye ni m/ke namuamini 100%! Ukiwa na mshiko utawakimbia wewe!
 
Money conguer the female spirit and spreads legs of even the most principled woman.
 
"You will always lose money chasing women but you will never lose women chasing money"
 
Wana jamvi nilikuwa sehemu na rafiki zangu tukisindikiza siku, ikaja hoja ya kila mtu analalamika kuhusu mizinga kutoka kwa mabinti/dadaz/wasichana/wanawake. Tumejadilia aina za mizinga nawe ongeza kwenye list kila atakae kula tunda ajiandae Wallet kufunguka huwezi kukwepa hii mishale hapo chini labda ubake make kiukweli hatuwezi kuwa mbali na hili tunda.

Mizinga kwa rika

(a) Mabinti/dadaz - Skonga /Xcul
-Vocha
-Kununuliwa simu
-Nauli
-Pesa ya Salon.

(b) Wasichana- Higher learning/Jobless/Low income earners/Gold diggers.
-Vocha
-Simu
-Salon
-Kodi ya nyumba
-Nauli
-Usafiri
-Michango ya Send off na Harusi

(c) Wanwake - Married/Divorced/Separated/Single parent
- Vocha
-Simu
-Salon
-Kodi ya nyumba
-Ada za Shule kwa wanae au ndugu
-Pesa za vyama/vikundi
-Mtaji/Msingi wa biashara
- Nauli
-Usafiri
- Michango ya Harusi, Kitchen party
-Matibabu binafsi, ndugu au watoto

Kudadeki ukicheki hiyo list hapo juu utajua ni kwanini wanaume wanaitwa wanaume kisa kisukari nyama aka K.......
 
Nyie ndo wale wanaume, unakwenda kwa nyumbani kwa mwanamke, maji ya kunywa bure, juice bure, chakula bure, unachafu shuka na choo bure, nyapu bure tena kwa jinsi utakavyo, lol! hata aibu hamna! jibaraguze basi siku moja moja upite hata supermarket ubebe hata maziwa ya kutengenezewa chai.

Sipendi, sipendi, sipendi wanaume DUSHELELE TU!
 
Yaani comment zote zimenifanya nicheke mpaka basi; ndio maana babu Dark City anasema mapenzi realistic ni mapenzi maslahi.
 
Last edited by a moderator:
Njia ya kuwaepuka ni kutafuta fedha tu, ukiwa na fedha huwa wanajitongozesha wenyewe, wakikufuata jibu lako ni hutaki mwanamke mwenye shida, asiye na kazi, mwanafunzi wa aina yoyote na anayependa kuombaomba, hapo watakuwa wanaogopa kukupiga mizinga. Pia jiweke simpo na usijinadi kama unapesa waache wagudue wenyewe. Hapo mizinga itakuwa ile ya tija tu.
 
Wanaume wa siku hizi full usanii, ahadi za kuoa, akikukula tu humuoni, bora tuchune tu ata akipotea anakuwa amelipia mzigo
 
dunia uwanja wa fujo kila mtu anafujo zake,,,,,mapenzi cku hizi full usanii!!
 
Back
Top Bottom