fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
Salaa mtu akisali hatangazii watu :biggrin1:Muda wa swala huu,unafanya nini humu?
Salaa mtu akisali hatangazii watu :biggrin1:Muda wa swala huu,unafanya nini humu?
Salaa mtu akisali hatangazii watu :biggrin1:
pesa inaongea si mchezo, na hao wanawake wenye kuzipenda pesa, wako tayari kukupa unacho kitaka ili uwape pesa :biggrin1:
dogo peleka ushoga wako huko huko.Maneno hayakuishi mkuu,ebana naweka oda ya idd nakuja kula ubwabwa yakhe!
Wale wanawake wenye kuzipenda penda watakujibu nenda ukawaulize.unachokitaka! Unamaanisha nini ndugu?
NyotaMalaika c mnataka blackberry na Vitz, keep your eyes wide openJichangeni jaman kumiliki demu si lelemama...hata mlalamikeje halibadiliki hilo..
Nshashuhudia mabinti wengi wakisaliti wapenzi wao kwa kuhongwa........... pesa,simu,gari...nk! I thnk money is all they want.
Nshashuhudia mabinti wengi wakisaliti wapenzi wao kwa kuhongwa........... pesa,simu,gari...nk! I thnk money is all they want.
Mambo ya Uli yameingiaje hapa? Mbona unapenda kudandia gari kwa mbele? Siku utakuja kudandia vilivyosimama ndo utajua kudandiadandia sio kuzuri!Sio kwa mabinti tu, Uli alikwenda kuongea kutatua mgomo usiku bar. Umejiuliza kwanini?
Matamanio na kutokujiamini kunachangia hii hIali na si kwa mabinti tu hata wanaume wengi huingia kwenye mtego na kufanya mambo ya usaliti, wizi, ujambazi kwa ajili waonekane na wao wanazo. hawajui kuwa mbora kati yetu ni yule mcha mungu na si mwenye si mwenye fedha au mali pekee.
Mambo ya Uli yameingiaje hapa? Mbona unapenda kudandia gari kwa mbele? Siku utakuja kudandia vilivyosimama ndo utajua kudandiadandia sio kuzuri!
cku hz pesa kwenye mapenz ngoma droo si wakaka wala wadada
si juzi kati tu hapa kuna mwanajamvi alikuwa anatafuta jimama la kumlea?????
can someone edit your life while broke?
yap...
Jichangeni jaman kumiliki demu si lelemama...hata mlalamikeje halibadiliki hilo..