Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
Co siri mapenz kwa wanawake asa hv ni pesa 2 ndo utapata mapenz ya kweli kama ww kabwela kama mm aisee bora single boy kama hupendi kuumizwa kimapenzi kama mchizi flani hv jins anavyompenda dem wake imebidi amwache huru afanye mambo yake lkn waendelee na mahusiano inauma sana kwa makabwela
Sio kweli... Watu tuko tofauti usituweke wanawake wote kwenye hilo group..Wengine tunaangalia mapenzi ya dhati na sio pesa ndugu yangu!