Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

usiendeee kwan bdo twakupenda.
smile
Back to topic. km alvosema mdau hapo juu pesa ina nafac ktk mapenzi. utameet vp na mpnz wako bila kuwa na pesa,utampigiaje bila pesa. wanawake ni mapambo so twatakiwa kutunzwa et. tupendeze,tung'ae ili tuipambe dunia. co nijing'arishe afu ulete naniliu zako. . . ukiona vimependeza ujue vimegharamiwa! aaghrrr...
 
Katika Biblia kuna kitabu cha Mithali hekima za Mfalme Suleiman, tangu nilipokutana na aya inayosema PESA NI SULUHISHO LA YOTE" basi na asitokee mtu wa kunishawishi kwamba pesa siyo muhimu.

Sasa hivi hata Makanisani anayewezesha michango na sadaka mbalimbali kanisani ndiyo anaheshimika zaidi na kiongozi wa kanisa husika.

Hizi ngonjera za pesa si muhimu katika mapenzi ni ngonjera za watu waliopigiga na uchumi huu wa Mkwerre, otherwise Mwanamke hata kama anakuzidi kipato lakini kuna maeneo lazima uoneshe uwanaume wako kwa kucover Financial support na hapo ndipo heshima inapoweza kuwepo.
 
ndo maana nakupenda matola wewe ni mkweli daima... heri umwambie bwana
mwanaume lazima utoe ......
 
yaani umenichekeshaje nimeposti naona na hii commet yako ... ahahaaa kweli mmenichoka jf aisee ngoja niende likizo ....

swthrt nimekumiss mbaya kabisa.
 
Katika Biblia kuna kitabu cha Mithali hekima za Mfalme Suleiman, tangu nilipokutana na aya inayosema PESA NI SULUHISHO LA YOTE" basi na asitokee mtu wa kunishawishi kwamba pesa siyo muhimu.

Sasa hivi hata Makanisani anayewezesha michango na sadaka mbalimbali kanisani ndiyo anaheshimika zaidi na kiongozi wa kanisa husika.

Hizi ngonjera za pesa si muhimu katika mapenzi ni ngonjera za watu waliopigiga na uchumi huu wa Mkwerre, otherwise Mwanamke hata kama anakuzidi kipato lakini kuna maeneo lazima uoneshe uwanaume wako kwa kucover Financial support na hapo ndipo heshima inapoweza kuwepo.

Matola, kwa upande wangu mimi ni miongoni mwa wanajamii wanaoamini kuwa yapo mapenzi bila pesa, ingawa nakubali wazi kuwa kwa hali ya sasa wadada wengi hufuata wanaume wenye pesa!

Kwa nini naamini hivyo?
1. Nimeshuhudia wakina dada wengi tu wakiolewa na kuwapenda wakaka wasio na mbele wala nyuma na wanajikuta wao ndio wanohudumia kila kitu nyumbani na bado maisha yanaenda mbele. Ninao mfano wa mama mmoja jirani yangu ambaye kaolewa na kaka mmoja alikuwa hana kazi ila sasa kapata kazi ya ulinzi, ni mama mwenye nafasi yake na elimu ya kutosha na bado wanapendana.

2. Kwa siku za hivi karibuni, tumeshuhudia baadhi ya wadada wakiachana na waume zao walio na uwezo na kufuata mapenzi kwa wanaume wengine bila kujali financial status za hao wanaume. Wadada wengine utakuta hana kazi wala uelekeo na still anamuacha mumewe na kwenda kwa mwanaume asiye na uwezo hata kidogo kutafuta faraja ya moyo wake.

Kwa mifano hiyo miwili, naamini yapo mapenzi bila pesa!
Nawakilisha!
 
Nina mda mrefu juu hii mada mademu wengi unapokutana nao mara ya kwanza hujifanya wako cool but kadri siku zinavyokwenda hufungua makucha na wengi ni uroho wa pesa bila kujali kipato chako nimemtafuta mwenye fikra za tofauti za kimaendeleo naona natafuta barafu jangwani hey girls badiliken pesa ni vitu vya kupita but sio zikosekane kabisa na nyie mjitume!

:biggrin1:, aisee mi siwalaumu, juzi nasikia mdada mmoja anasema anaenda salon kutengeneza nywele nikamuuliza kiasi gani akasema laki 1, alafu anaenda kutengeneza kucha za mikono na miguuni kwa shs 50000, eh bado aweke kope za bandia za macho bado make up na hapo hajaenda dukani kufanya shopping....aisee hawa watu wanahitaji fedha...bila fedha hakuna penzi hapo
 
huwez tenganisha mapenzi na pesa....hata kukaa tu bar na mupenzi huku mkipata FANTA yahitaji pesa!!!!!
 
Nina mda mrefu juu hii mada mademu wengi unapokutana nao mara ya kwanza hujifanya wako cool but kadri siku zinavyokwenda hufungua makucha na wengi ni uroho wa pesa bila kujali kipato chako nimemtafuta mwenye fikra za tofauti za kimaendeleo naona natafuta barafu jangwani hey girls badiliken pesa ni vitu vya kupita but sio zikosekane kabisa na nyie mjitume!

welcome to the world of malovee aka maluvdav..
 
Pesa ndo kila kitu
yan katka mpenz kwa ninavyo juu hawa wanawake wanavyo jua kudeka tena hakuna ambaye atakupa penz bure kila kitu kinagaramikiwa huoni hata ukiwa una muowa lazma utoe mahari napia pale anapokuwa mke ndani ya nyumba each and every things ata kutegemea jaman pesa ndo mpango mzima wanao sema mapenz bila pesa wana jidanganya na kama wapo ni 2katka 10
achan bana kani hela mna ichukuliaje pesa ndo sabuni yaroho bila iyo kitu mwanamke chupi itaisha men ushindwe ku mmnunulia sasa hapo itakuwa umefanya nini
pesando kila kitu.
 
Ili uweze ku-run mapenzi pesa ni muhimu sana,siyo kwamba ndo ukikosa pesa hakuna mapenzi,ila unapokuwa na pesa mapenzi yananoga sana ni kama kutia chumvi kenye mboga.Tena kwa dunia ya sasa hivi ambapo wanawake nao wamesoma au wanavipato vyao kutokana na mihangaiko yao na ukichukulia kwamba mapenzi yenu hayana longolongo yoyote,mapenzi huwa yanakuwa matamu sana.
 
Ah mie siamini katika mapenzi ya pesa! Ndio nimesema ! Unless mnipe tofauti ya mapenzi ya pesa na mapenzi ya dawa!
 
inategemea na mwanamke sio kila mmoja, pia inawezekana nawe uliwafata kwa kujionyesha kuwa una pesa
 
  • Thanks
Reactions: LD
Nina mda mrefu juu hii mada mademu wengi unapokutana nao mara ya kwanza hujifanya wako cool but kadri siku zinavyokwenda hufungua makucha na wengi ni uroho wa pesa bila kujali kipato chako nimemtafuta mwenye fikra za tofauti za kimaendeleo naona natafuta barafu jangwani hey girls badiliken pesa ni vitu vya kupita but sio zikosekane kabisa na nyie mjitume!

We si unakutanaga ma mademu? Kaa tulia ukutane na wadada/binti wenye heshima zao....wenye UTU na UUNGU ndani yao. Sasa we mwenyewe umekaa mkao huo....unategemea nini.....Utakutana na mademu mpaka ukome.

By the way I hate the word Demu...................
 
Co siri mapenz kwa wanawake asa hv ni pesa 2 ndo utapata mapenz ya kweli kama ww kabwela kama mm aisee bora single boy kama hupendi kuumizwa kimapenzi kama mchizi flani hv jins anavyompenda dem wake imebidi amwache huru afanye mambo yake lkn waendelee na mahusiano inauma sana kwa makabwela
 
maliza shule.....tafuta kazi....au kitu cha kufanya....kujipatia kipato....yaani pesa.....
 
umeona...hapa hamna mapenzi ya kweli. tengeneza hela mege K yake tafuta mwengine. hakuna cha kuweka kamba ni batua na sepa
 
Back
Top Bottom