Ray Money
Member
- Aug 2, 2019
- 22
- 17
Si ndo mambo hayo sasa wadada wale pesa tyuKuna broo ni manager wa hotel fulani hapa jijini, anatoa kweli pesa kwa kabinti Fulani ka chuo... Hako kabinti kuna mda kanapewa pesa kanakuja kuziacha geto hapa... Sometimes naona sio fair kula pesa za mwanaume mwenzangu... Kama unaamini mapenzi ni pesa endelea kuhonga.. ukweli mchungu kuna wanaume wenzio wanakula pesa zako na wanakula demu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app