Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Wakuu nimegundua kwenye mapenzi wengi wanao umizwa ni wale wanaojitahidi kuyapigania mapenzi kwa mali zao
Unakuta mtu unamtongoza dem anakukataa ila kwakua unapesa bas unafanya juu chin vishawishi vingi hadi unampata alaf badae zikiisha akikukimbia unasema nilimpa kila kitu ila haridhiki, hapana siyo kwamba haridhiki isipokua ulikua unanunua tu mapenzi hivyo pesa zikiisha atakuacha tu.

Ukihitaji dem wa kumpiga na kumuacha we mshawishi kwa pesa zako tu ila kama unataka mke ni bora ukaanza mahusiano nae kwa kumpa mitihani midogo midogo hata Kama unauwezo wa kumtimizia we Mara nyingine mwambie sina pesa akiamua kukusaliti kwasababu hizo za kutokua na pesa we achana nae tu kwakua mapenzi hayanunuliki.

Nasema hivi kwakua gharama ya kuyanunua mapenzi malipo yake ni majuto unaweza hata kuuwa

GunFire
 
Last edited:

Una undugu na Secretary Pompeo ?
 
Kweli kabisa ndugu.

Mapenzi yanayoanza kwa starehe na bata batani huishia njiani kwa wengi.

Ila wengi wanaoanza kwenye ugumu wa maisha huwa stable kimahusiano.
Changamoto za kiuchumi huimarisha mahusiano yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi Una Members WA zamani kweli kweli watu wamejoin JF 2008,2009,2010
Ni Zamani Sana Nilikua mdogo kwa kweli japo Sio Sana
Bila Shaka hawa watu umri wao una range 40 na kuendelea Ni ma-father na ma-bro Sasa
Mbona wengine wako online na hawajachangia mda mrefu Sana ?
Kweli huu uzi wetu wahenga fatherz n motherz. Sikumbuki hata nilichangia nini hapa😁😁
 
Thread hii ilishushwa enzi hizo hata sijamaliza darasa la 7 alaf inawakongwe weng ila hawachangiagi mada zozote japokua wako online

Anyway kweli pesa inanguvu sina budi kutafuta

GunFire
 
Yaan, hii thread niko darasa la saba hata papuchi sijaanza kuijua..Duuuh hatare sana, sasa nipo na 3 years toka niwe member humu.. Ila JF nimeijua toka 2015
 
Back
Top Bottom