Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kifupi.

Ukiona mwanamke anakuomba pesa ujue hakupendi... Huyo ni malaya tuuu

Ukiona wewe kila siku ndio unamtafuta mwanamke ujue hupendwi kwaiyo tumia PESA kumpata

Ukiona mwanamke hakuombi hela na anakutafuta kila mara ujue anakupenda tumia PESA kupalilia PENZI

Lakini PESA ni kiungo tuu sio muhimu sana.
 
Hivi huko vijijini ambako karibu asilimia 70% ya watanzania wanapesa kiasi hicho kweli..??Kuna watu bado wanaishi maisha ya dhiki na bado wanaendelea hivyohivyo..wanazaa watoto etc..angalia ushahidi wa watu wengi tu waliofanikiwa...utasikia walikua wanashindia mlo mmoja, nyumb nyasi, hakuna viatu...lkn baba na mama zao waliendelea hivyohivyo.....
Pesa ni chachu ya mapenzi tu..haimaanishi kama haipo....mapenzi yangekua hayapo..kama hali ingekua ndo hivyo basi asilimia 60% ya ndoa za kibongo zingekua hazipo...hawa wanawake wanavumilia mambo mengi sana......
 
Tusiwaonee, si mwanamke tu hata wewe huwezi ishi bila pesa.
Halafu umetaja hayo ni mahitaji ya msingi. Ishu inapokuja ni pale mtu anakuwa na tamaa. Unamudu hayo kesho anatokea zaidi yako.

Ila pesa isiwe kigezo cha kukataliwa kikubwa hujakatika mikono bado unaonyesha juhudi.
Well said....[emoji1319]
 
Hata zamani mwanaume alipendewa kazi
tapatalk_1571053333924.jpeg
 
Zamani sio sasa mkuu. Dunia imebadilika. Zaman msichana hutoi pussy hadi uolewe,so hata asipogharamikia unajua akinioa atanitunza. But sku hizi tunaviziana sana. Unataka pussy uchape usepe na manzi anataka pesa ili hata ukisepa kakufaidi na wewe.
Mzee wako wakati anamuoa mother alikuwa ana pesa?

Kama jibu hamna, basi mapenz sio lazima uwe na pesa,

Tatizo ni tamaa ya kutaka kuishi maisha ya kwenye movie na season za Kikorea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusiwaonee, si mwanamke tu hata wewe huwezi ishi bila pesa.
Halafu umetaja hayo ni mahitaji ya msingi. Ishu inapokuja ni pale mtu anakuwa na tamaa. Unamudu hayo kesho anatokea zaidi yako.

Ila pesa isiwe kigezo cha kukataliwa kikubwa hujakatika mikono bado unaonyesha juhudi.
Umesema vizuri sana[emoji173]
 
Ukiona mwanamke hakuombi hela na anakutafuta kila mara ujue anakupenda tumia PESA kupalilia PENZI


Broke guys saying...so akiwa na shida pia asikuombe???
dtj,
 
Sa mwanamke mwenyewe gazeti la saa kumi na mbili na dakika harobaini na tano,malapa ndo ndo uanayonekana,halafu unataka hela wakati kuna vitu saa tano na robo na mambo sa saa sita na bado hataki hela.
 
scorpio me,Akiwa na shida akakuomba hela huwezi kusema huyo mwanamke anapenda pesa ila siyo unaona natumia nokia tochi unaniomba nkununilie iphone nisiponunua penzi liishe huyo ndo mpenda pesa, anayekuomba kwa sababu anashida hata ukisema hauna haiwi tatizo as long as anajua hali yako
 
Back
Top Bottom