Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Tusiwaonee, si mwanamke tu hata wewe huwezi ishi bila pesa.
Halafu umetaja hayo ni mahitaji ya msingi. Ishu inapokuja ni pale mtu anakuwa na tamaa. Unamudu hayo kesho anatokea zaidi yako.

Ila pesa isiwe kigezo cha kukataliwa kikubwa hujakatika mikono bado unaonyesha juhudi.
Baby mimi nikila, nikilala, nikavaa, nikienda hospitals basi inatosha, hayo mengine majaliwa ya Mungu
 
Zamani sio sasa mkuu. Dunia imebadilika. Zaman msichana hutoi pussy hadi uolewe,so hata asipogharamikia unajua akinioa atanitunza. But sku hizi tunaviziana sana. Unataka pussy uchape usepe na manzi anataka pesa ili hata ukisepa kakufaidi na wewe.
Nakazia
 
Baby mimi nikila, nikilala, nikavaa, nikienda hospitals basi inatosha, hayo mengine majaliwa ya Mungu
Ndio maana nikakuchagua wewe unajua kwanini?
Kwangu wewe ndiye mwanamke uliyechukua kombe la dunia kwenye sekta ya mapenzi.
 
Tutafute pesa wakuu,saiv mwanamke anaeza kukuvumilia ukikosa pesa kwa muda si huna kabisa
 
No pesa is not every thing.
You will have you are man and gives you everything but not money .
 
Naweza sema ndy au siyo, mtaani kwetu kuna binti age 18 bidada anaenda kwa bwana hela ya boda, vocha, chupi sijui pad anatuomba, siku za nyumba kidogo narud job nakuta kikao cha dharura, wanamsema ww unaenda kwa bwana hupewi Tshs 10 bado unamng'ang'ania, mwanaume pesa, kama hana akwendreeeee kule. Neno langu moja nililompa angalia usije pata mimba na UKIMWI maana saiz ni Kama mafuta, bora mimba umepewa zawadi mtoto UKIMWI je,

Hitimisho pesa ina nafasi yake kwenye mapenzi lakini pia Moyo wa mtu umeamua tu kuridhika na hali ya mtu siyo kwamba ana pesa basi anampenda hasa wadada
Kifupi.

Ukiona mwanamke anakuomba pesa ujue hakupendi... Huyo ni malaya tuuu

Ukiona wewe kila siku ndio unamtafuta mwanamke ujue hupendwi kwaiyo tumia PESA kumpata

Kweli pesa iwepo kipalilia penzi
 
IKIRIRI, Kama ilivyo kwa mwanamke anakuwa submissive Kwa mwanaume automatically atakaemtimizia mahitaji na mwanaume akimuelewa mwanamke atafungua wallet tu.

Money makes women submissive to wealthy men, submissive woman makes a man hustle harder.
 
Exactly
Mapenzi sio Pesa ila hakuna penzi libalokwenda bila ya pesa kuwasiliana Pesa, kukutana Pesa, kuoana pesa...mpenzi wako anapatwa na shida ndogondogo inahitajika pesa.

Usijidanganye bule.
 
Hakuna mwanamke asiyeomba pesa wewe inamaana yeye hapatwi na shida mwanaume unakuwa na shida sometimes mapaka basi ndio iwe mwanamke
Mkuu.

Ukiona demu anakuomba hela ujue HUPENDWI narudia tena ukiombwa hela na demu jua hupendwi.

Ukiombwa hela na Mkeo hilo ni swala lingine.
 
Ukiona mwanamke hakuombi hela na anakutafuta kila mara ujue anakupenda tumia PESA kupalilia PENZI


Broke guys saying...so akiwa na shida pia asikuombe???
Hehehe

Hujapenda wewe bado.
 
Rayvany kwenye naogopa amesema mapenzi sometimes hayaeleweki unaweza kudhani ni pesa ukampa mali na check lakini kumbe anaenda kula mzigo muuza magazeti.
Mapenzi sio pesa sema inahitajika iwepo hata kidogo like mnaweza kutoka out mkala hata msosi wa 10k au akaomba pesa ya kusukia nywele za kawaida tu 10k sio ile hamna kabisa yani apeche alolo. Hapo inakua shida tho anaweza kukuvumilia.
 
Kweli juzi mchepuko umeniacha kisa eti simjali!yupo anaemjali!!!nikajua ile twenty haikumtosha anataka zaidi !nikamwambia poa usijali!!!
 
Vibe la j2 vepeee humuuuu

Uwe mdada au mkaka mpango dear ni ku-make money mambo ya kupenda ilikua miaka ya 90 ndo real love ilikuwepogoooh mpo hapo???

Mfano wanaume wote 99% ni tamaa tyuu hawajui kupenda mwee mwanamke hata umpe na mumeoo au huyo mpenziooo mpe mpaka nanilou still,atatoka tyuuu na wengineeee sasa huo mda wa kumpenda anayekutamani tyuu akutumie nenda ka-make moneyy


Ndo maana napendaga mashost mnaopenda mabebez wenye pesaaa ndo mambo hayoooo yaann umpende maskin mwenzetu halaf awe akupendi bado akutumie tyuuu na kuchepuka??huo mda bora ungejidatisha mwenye pesa ule maishaa hata km atachepuka sawa tyu ila angalau unakula pesaa tyu cha muhimu asilete tu magonjwaa

Unakubali kusufer kisa mtu anayekutamani tu hakupendiiii hapanaah

Upendo wa dhati last seen yake ilikua 1999

Mniache kwa kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna broo ni manager wa hotel fulani hapa jijini, anatoa kweli pesa kwa kabinti Fulani ka chuo... Hako kabinti kuna mda kanapewa pesa kanakuja kuziacha geto hapa... Sometimes naona sio fair kula pesa za mwanaume mwenzangu... Kama unaamini mapenzi ni pesa endelea kuhonga.. ukweli mchungu kuna wanaume wenzio wanakula pesa zako na wanakula demu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom