Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Duh Mkuu Naona namba inasoma 2008 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hapo niko darasa la SitaAiseee Wakuu Habari Zenu Mdogo wenu Nawasalimia hapa(Shkamoni), Mpo kimya humu Aisee
Poleni na majukumu. Huu Uzi umeniacha mdomo wazi Nyie Majamaa ni Mikubwa
Hivi Mumeshawahi fanya kaji-Anniversary humu(miaka 10 Sasa) [emoji28][emoji28][emoji28]
Maana hiyo Miaka ni mda kwa kweli kweli
Hata Nywele kubwa Sikua Nimeota Mimi japo sahivi ni kidume cha Mbegu[emoji38]
Mwaka huo first born wangu ana miaka mitano!
 
Duuh Hongera Mkuu hakika we ni mkongwe, Na umebeba Mengi kichwani Hongera sana
Vipi Lakini unaona utofaut upi kwa Members kati ya Sas na hapo Awali yaani tabia zao Sana Sana [emoji3][emoji3]
Hahah ngono, ngono, ngono! Mijadala sio ya kitaifa tena ni ya kivyama! Hapa majority wakitafuta connection ni kwa ajili ya ngono sio biashara. MTU anaona ufahari kutembea na wanawake wengi humu!

Hio ndio JF ila wenye kutumia hizo connection vizuri wanafanya vizuri pia! Siku hizi hoja tunajibu kwa viroja!
 
Anniversary ya miaka10 siku nyingi sanaa
Hahahaaaaa
Duh Mkuu Naona namba inasoma 2008 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hapo niko darasa la SitaAiseee Wakuu Habari Zenu Mdogo wenu Nawasalimia hapa(Shkamoni), Mpo kimya humu Aisee
Poleni na majukumu. Huu Uzi umeniacha mdomo wazi Nyie Majamaa ni Mikubwa
Hivi Mumeshawahi fanya kaji-Anniversary humu(miaka 10 Sasa) [emoji28][emoji28][emoji28]
Maana hiyo Miaka ni mda kwa kweli kweli
Hata Nywele kubwa Sikua Nimeota Mimi japo sahivi ni kidume cha Mbegu[emoji38]
 
Kabisa Mkuu hayo yote uliyo yaandika it's absolutely true, Hata me nimeona kwenye baadh ya thread zenu. You were very obedient
Wewe unadhan kwanini imekua hivyo Mkuu
Maendeleo ya Technology, kila MTU ana access ya mobile phone, hadi Watoto na bundle la kutosha. Sisi ilikua unafunga safari kwenda internet cafés!
 
Maendeleo ya Technology, kila MTU ana access ya mobile phone, hadi Watoto na bundle la kutosha. Sisi ilikua unafunga safari kwenda internet cafés!
Hahaha sure internet cafes unalipia malipo ukilipa nusu saa ukasahau kuangalia muda inakutia taap. Technology inakua kwa kasi ya ajabu
 
Huu Uzi Una Members WA zamani kweli kweli watu wamejoin JF 2008,2009,2010
Ni Zamani Sana Nilikua mdogo kwa kweli japo Sio Sana
Bila Shaka hawa watu umri wao una range 40 na kuendelea Ni ma-father na ma-bro Sasa
Mbona wengine wako online na hawajachangia mda mrefu Sana ?
Wengine hata 30 hatujafikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapatawapi ujasiri wakua na mpenzi wakati huna kazi wewe mwenyewe hujiwezii
 
Hivi tangu uzaliwe hujawah kuachana na mwanamke?? na kama uliwahi huyu yeye unashindaje???

Na kama hujawahi basi kuanzia leo tamua kuwa kuna kuachana katika mapenzi na maisha yakaendelea.

Kuishi katika mahusiano usiyokuwa na furaha nayo huo ni ujinga, Tafuta wa kipato chako anayeendana na wewe.

Kama ushauri wangu utaona siyo bora basi mwanaume bora anatoka NMB,CRDB,NBC,AZANIA BANK, BACRAYS BANK na mwanamke bora anatoka kwa Bwana.

Fanyia kazi hilo.
 
Mwenyewe nimeganda kama ww jibu sina maana wangu juzi kaniambia nashindwa nunua hata pedi mwenyewe kula yangu tangazo la kifo nikwamwambia tu pita hvi bibie mambo yasiwe meng sana jombiiiiiiiiiii
 
Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi?

Pesa unaweza ukaitumia kuvuta wapenzi wengi na wakakubali kutokana na pesa yako?
Ni kweli pesa ina mvuto katika penzi kuliko upendo wa moyoni?

Angalia pedeshee huyu hapa chini anavyo tumia pesa yake katika mapenzi,huyu jamaa tunaweza kusema aliwazalilisha hawa mabinti kwa kuwachezea ndimi na kila aina ya uchafu kutokana na njaa zao ya pesa walikubali huku wakikata kilaji...
Hio ilikuwa ni mwaka 2009. Na huu uzi pia na wa mwaka 2009. Leo huyo jamaa analia sana hali yake ni mbaya na mademu hawampi papuchi tena
 
Uzi huu upo kwa link hii hapa chani

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Naona huu uzi wa mwaka 2009 umekuwepo sana kwenye recommended posts na trending posts za JF hivi karibuni. Kiukweli huyo ‘Mzee wa Pamba’ sidhani kama kwa sasa hali itakuwa kama ya miaka hiyo ambapo hela ilikuwa nje nje tu kwa watu wengi na wengi wakasahau kuweka hazina kwa siku za usoni wakawa wanakula maanasa kama hivi mademu watatu wote kwa mkupuo.

Kuna Makala ya GlobalPublishers huyo ‘Mzee wa Pamba’ alikuwa analalamika kwamba pesa imekuwa ngumu na hapati wateja. Hio ilikuwa mwaka 2016 ndio alikuwa analalamika hivyo. Ukipiga hesabu mambo kwa watu wengi yamekuwa yanashuka tu (going downhill) tokea 2016 JPM alivyoingia madarakani. Ukichanganya na COVID—19 crisis, Hakika kuna watu watakuwa wamekiona chamoto.

Screenshot ya GlobalPublishers

WhatsApp Image 2020-06-01 at 1.00.27 PM.jpeg


Link ya makala 'original' ya GlobalPublishers:
Tumbua majipu yawaliza wauza mitumba - Global Publishers







****
 
Back
Top Bottom