Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Tunaposema mwanamke anapenda pesa hatumaanishi anataka mwanaume mwenye uwezo wa kuwajibika kukidhi mahitaji ya muhimu bali tunamaanisha anapenda pesa yaani yy akiwa na MO akaja akatongozwa na Dangote atamuacha Mo ataenda kwa Dangote na kwa Dangote akitongozwa na Bilgate atamuacha Dangote ataenda kwa Bilgate.

Inamaanisha kumkeep Mwanamke kama huyo lazima uzidi wanaume wote kwa hela haijalishi unajiweza kiasi gani nadhani utapata concept hapo tuchamaanisha tunaposema mwanamke anapenda pesa, Tunaposema hapendi pesa ni mwanamke Yule ambaye yupo tayari kuwa na ww kokote as long as mkono unaweza kwenda kinywani haijalishi kwa namna gani
 
Maana yake anakupenda ili apate pesa yako, pesa imeisha mapenzi yatapungua au ndio basi tena,
Na ukiona mwanamke anaweka mbele pesa, kuliko kawaida,

tambua huyo kapitiwa Na watu sio Chini ya (L)
 
Back
Top Bottom