Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Aseee waseeee! Hivi Hawa Dada zetu wa miaka hii kwanini hawana mapenzi ya Kweli wanapenda sana pesa??!
Yani kwa miaka hii ukiwa na pesa ndefuu hakuna mwanamke utakaemkosa unamla utakaemtakaa, aseee mbona bibi zetu hawakua hivi? Wanakwama wapi???
Ukitongoza tu mwanamke utaskia oooh! "my Nina shida naomba ela mambo yangu yakikaa poa takulidishiaa"
Aseee kizinga kinakuja kwa style ya kukopa na kama huwezi kumkopesha ujue Ndio imekula kwa mkorea hiyoooo K hupati na unawekwa blacklist aseee!
Eebanae! Hawa watu wanakwama wapi aseee?
Kwa sababu mmezoea kuwanunua.
 
Kaka ww upendi pesa sawa endelea kujiuliza kwnn wao wanapenda pesa ila kama unapenda pesa bas futa hiyo post baba
 
Baadhi ya hawa wanawake hawana mapenzi ya kweli bali wanapenda pochi, pesa ikizingua tu basi wanajikata haraka sana na kumuacha ME na majuto ni mjukuu.
Hakika mkuu

Smart guy
 
Aseee waseeee! Hivi Hawa Dada zetu wa miaka hii kwanini hawana mapenzi ya Kweli wanapenda sana pesa??!

Yani kwa miaka hii ukiwa na pesa ndefuu hakuna mwanamke utakaemkosa unamla utakaemtakaa, aseee mbona bibi zetu hawakua hivi? Wanakwama wapi???

Ukitongoza tu mwanamke utaskia oooh! "my Nina shida naomba ela mambo yangu yakikaa poa takulidishiaa"

Aseee kizinga kinakuja kwa style ya kukopa na kama huwezi kumkopesha ujue Ndio imekula kwa mkorea hiyoooo K hupati na unawekwa blacklist aseee!

Eebanae! Hawa watu wanakwama wapi aseee?
1. Hampendeki
2.hamuaniki
3.hamna shukurani
4.hamuwezi mapigo yetu
5.kutuzalisha kazi hadi tuende kijijini mjini asilimia kubwa zeroooo.
6.mnashida sana mnapiga wadada
7.mko kama vichaa hamjiamini
So tunachukua hela mnaenda hamna pesa tunakaa kimya tunawapotezea presha yanini
 
Mwanamke akishakupa nafasi ya kumpenda... Kisha ukamthamini, ukamjali, ukamridhisha katika mapenzi... Pesa huwa inakosa nafasi kabisa katika hayo mahusiano....

Hili nimelithibitisha katika maisha yangu... Kabla ya kutengana naye...
Kilichowatenganisha? Ulikosea wp?
 
Mungu nipe pesa nyingi maana nina moyo wa kuzitumia kuliko sijui mpenzi sijui demu basi tu hapa hela tu
 
Back
Top Bottom