Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ukiwa na mwanamke anakwambia hapendi pesa anakudanganya, kama hakuombi pesa kweli kakupenda japo pia yaweza kuwa mtego tu ili akupate kwa kigezo kuwa hapendi pesa na hapo kuna mawili either anazo pesa zake yeye au kuna danga linamuwezesha.....tena anaweza kwenda mbali anahongwa huko anazileta kwako kidume unacheeeeka eti mwanamke wangu hapendi pesa, ajikute tu!!!!
Well said indeed
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mkwe umemaliza kila kitu, yaani hata pesa ya kununulia Nutella hana hayo mapenzi yatakujaje sasa?
Mimi nisipokua na pesa hata nguvu za kiume hua zinapungua maana full time ni stress tu.
Yaani niko pamoja mkuu. ...hata mood ya kutongoza au kungonoka huwa sina
 
Hahaa mtoa Mada anajilisha upepo. ...nikiwa sina pesa huwa sihitaji mwanamke asiye dada/mama yangu anisogelee kabisa
Wanawake wengi hawapendi kuonekana wanauza k ndo mana ukimuuliza anapenda mwanaume wa aina gani atakwambia mwenye mapenzi ya kweli
mwanaume ukiwa na pesa mwanamke ni ngumu sana kukuacha atachepuka tu tofauti na yule ambaye hana mahusiano huwa yanavunjika kabisa
 
Duh[emoji26][emoji26]
Mlishindwa kabisa kukubaliana!????
Unanikumbusha mbali mkuu...dah haya maisha hayana kanuni
Pole kama nakukumbusha huzuni ya muda mrefu uliopita...
Ni kweli maisha hayana kanuni... Makubaliano yalikuwepo lakini hayakuwa na maana kama yangetimia kisha wakati huohuo yanawaumiza wale ambao wanatuzunguka (familia),
Tulijaribu kufikiria na kupima matokeo ya baadae, baada ya kuingia kwenye makubaliano lakini mahesabu hayakuwa sawa...
 
You have to know that Hao wapo wachache. ... tunaposema kuwa jamii ya watu fulani ina matatizo fulani fulani research iliyofanyika kuhalalisha tamko hilo huwa inatoa hukumu husika kutokana na majority
Kabisa... Nilibahatika kupata mwanamke ambaye alinipenda na tukapendana sana, mapenzi, thamani na heshima niliyokuwa nampa hakuwa anawaza pesa kabisa... Zaidi tulikuwa tukisaidiana katika mambo mbalimbali...
 
Pole kama nakukumbusha huzuni ya muda mrefu uliopita...
Ni kweli maisha hayana kanuni... Makubaliano yalikuwepo lakini hayakuwa na maana kama yangetimia kisha wakati huohuo yanawaumiza wale ambao wanatuzunguka (familia),
Tulijaribu kufikiria na kupima matokeo ya baadae, baada ya kuingia kwenye makubaliano lakini mahesabu hayakuwa sawa...
Aiseee[emoji26][emoji26]
Pole..hongera pia kwa kufanya maamuzi sahihi japo yanaumiza
 
You have to know that Hao wapo wachache. ... tunaposema kuwa jamii ya watu fulani ina matatizo fulani fulani research iliyofanyika kuhalalisha tamko hilo huwa inatoa hukumu husika kutokana na majority
Jiulize tu... Wanaume wenye pesa wapo kiasi gani...?? Kiasi kwamba hao wanawake wengi wanaopenda pesa huenda kwao...??
Jiulize... Jamii yetu ina idadi gani kubwa ambayo ipo katika mahusiano mazuri kati ya wenye fedha na waio na fedha...???

Mwanamke anayejielewa anahitaji furaha, upendo, heshima na thamani... Na vyote hivyo havihitaji pesa...

Wengi wao wanaofuata pesa huwa hawapewi thamani, heshima, upendo wala furaha
 
Kwani wewe unavyo ongelea pesa unazungumzia utajiri Ama -....? ... hicho hicho kiasi kidogo cha pesa unachoongelea kikikosekana Katika mahusiano huwa ni shida. ..

. yakupasa ufahamu kwamba tunaishi Katika jamii ambayo inatofautiana kiuchumi kwa kiasi kikubwa mnoo

Kuna sehemu nyingine Katika jamii yetu mtu akiwa na mshahara wa 150k per month anaonekana kuwa anazo na anaoa kabisa Au anakuwa Katika relationship na mwanamke Ambaye ana mtegemea licha ya kuwa na kipato hicho. ...pindi inapotokea mwanaume huyo akayumba kiuchumi ...Mwanamke anamkimbia. ....

Mapenzi Bila pesa -- Yana changamoto kubwa mno

Si kwamba nakataa hoja yako, ila utambue kwamba hao wanawake wa hivyo wapendao pesa katika mahusiano ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanawake katika jamii...

Na kuhusu mwanamke kuthamini pesa kuliko mapenzi yako... Kunatokana na vile unavyomuweka katika maisha yake... Ukimuweka katika kuithamini pesa kuliko mapenzi yako... Hakika ataipenda pesa kuliko mapenzi yako... Na ndio siku ukiikosa basi umemkosa pia

Mkuu Suala hapo sio kupenda pesa kwa wanawake tu -- Bali Suala ni pesa kuwa na nafasi kubwa sana Katika maisha ya mahusiano yetu. ..

Inapokosekana hata, furaha ndani ya familiar hutoweka imagine ukiwa kama mzazi wa kiume Ambaye kimsingi ndiye kichwa cha family Utaweza vipi kuiendesha family yako huku ukiwa huna pesa?
Si kwamba nakataa hoja yako, ila utambue kwamba hao wanawake wa hivyo wapendao pesa katika mahusiano ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanawake katika jamii...

Na kuhusu mwanamke kuthamini pesa kuliko mapenzi yako... Kunatokana na vile unavyomuweka katika maisha yake... Ukimuweka katika kuithamini pesa kuliko mapenzi yako... Hakika ataipenda pesa kuliko mapenzi yako... Na ndio siku ukiikosa basi umemkosa pia
 
Jiulize tu... Wanaume wenye pesa wapo kiasi gani...?? Kiasi kwamba hao wanawake wengi wanaopenda pesa huenda kwao...??
Jiulize... Jamii yetu ina idadi gani kubwa ambayo ipo katika mahusiano mazuri kati ya wenye fedha na waio na fedha...???

Mwanamke anayejielewa anahitaji furaha, upendo, heshima na thamani... Na vyote hivyo havihitaji pesa...

Wengi wao wanaofuata pesa huwa hawapewi thamani, heshima, upendo wala furaha
Siku hizi ukiona mwanamke anahitaji mwanaume yoyote ujue tayari umri umemtupa mkono kashachezewa na wenye pesa sasa anaona anakosa heshima au mwanamke ambaye kazalia nyumbani kwahiyo vijana wengi wanaooa sasa ni sampo hizo hapo
 
Hakika. .wakina Irene uwoya na mama nasibu Abdul hao

Back
Top Bottom