Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Tema mate chini😝😝We hata Mungu anakuogopa mwenza. Nani alikuumba? Inabidi tukutoe photocopy.
Tema mate chini😝😝We hata Mungu anakuogopa mwenza. Nani alikuumba? Inabidi tukutoe photocopy.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa ana B.A in Relationship Negotiations. Elfu 70 mpaka buku 3.We utakula buku tu, jamaa kwa negotiation skills nahisi alikula A+ ya 98/100! Unamshushaje mtu toka 70k hadi buku 3?
Nami naomba.
Hahah huyu akienda dox wahuni wanamkimbiza huyu hahaha anaweza kufosi kununua shati la 20k kwa buku 3![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa ana B.A in Relationship Negotiations. Elfu 70 mpaka buku 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiiii wewe, acha uchoyo jamani.Jukumu la mpenzi wako hilo
Hapo tu ulipo unaiwaza balimi, kaone kwanza. Sijui nani unamuibia mwenza[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Tema mate chini[emoji13][emoji13]
Hahaha na hii hali ya hewa ya leo mwenza acha tyuu,.hata ndovu ningekunywa..lakini ubaya wangu jamanii siwezi swaga za kumuibia mtu sijui kukaa bush sana ndio matokeo yake haya...em nipe tekniki wangu,.lolHapo tu ulipo unaiwaza balimi, kaone kwanza. Sijui nani unamuibia mwenza[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Gwiji kwenye hiyo sekta ni Khantwe yaani ameshindikana.Hahaha na hii hali ya hewa ya leo mwenza acha tyuu,.hata ndovu ningekunywa..lakini ubaya wangu jamanii siwezi swaga za kumuibia mtu sijui kukaa bush sana ndio matokeo yake haya...em nipe tekniki wangu,.lol
😂😂😂😂😂😂😂basi nikajijua mimi tuu ndio nimekuja mjini kwa mbio za mwengeGwiji kwenye hiyo sekta ni Khantwe yaani ameshindikana.
Mwenza mimi kama wewe tu, naiba asubuhi mchana nasahau najisemea[emoji134]
Heri yako mwenza uko mjini, mie huku kijijini kwetu hata gari za mkaa hazikuji. Nipe mwaliko basi nije kusafisha macho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi nikajijua mimi tuu ndio nimekuja mjini kwa mbio za mwenge
Hahaha mjini penyewe niulize wapi???kiranjeranjeHeri yako mwenza uko mjini, mie huku kijijini kwetu hata gari za mkaa hazikuji. Nipe mwaliko basi nije kusafisha macho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mjini penyewe niulize wapi???kiranjeranje
😂😂😂ngoja niweke mazingira sawa uje wa mimi,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We nibanie tu.
Eewaalaaaa!! Hayo ndio maneno sasa[emoji3590][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niweke mazingira sawa uje wa mimi,.
Unapomtongoza mwanamke asubuhi jioni anapata tatizo la kifedha hivyo basi kama mpenzi mtarajiwa unapaswa kwa namna yoyote kutatua tatizo.
SWALI
Hawa wanawake zetu tunaowatongoza ufanya hivyo ili kujihakikishia kama endapo akikubali offer ya mahusiano atakua na mtu sahihi au ni namna mpya ya utapeli mjini kupitia mwamvuli wa mapenzi???
Binafsi niliwai mtongoza dada niliekutana nae njiani akaniomba elfu70 baada ya mahojiano ya hapa na pale akashuka mpaka elfu tatu.
😋😋😋Eewaalaaaa!! Hayo ndio maneno sasa[emoji3590]
Mi nilimwita Bar mchana akaniambia anakula ila alipokuja tu njaa ikaanza kumuuma anataka mbuzi choma
Sent using Jamii Forums mobile app