Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ndio ubaya wa kuwa tegemezi kwa kila kitu na kuendekeza umasikini,.hivi mtu mmekutana alfajiri adhuhuri unaomba hela ya luku jamanii,ina maana huyo mtu asingetokea ingekuwaje??aisee sipendi hizi tabia za kishamba ningekuwa na uwezo ningewachapa viboko watu wa hivi,na hata wanaume baadhi msione wapenzi wenu wanajiweza kidogo basi na nyinyii mara ooh AC ya gari imelegea,sijui banseni bana ya gari imeungua jaame jaamee,.jameniiii em tusichanganye mapenzi na njaa,.ndio maana watu hamfiki vileleni kwasababu unawaza sijui leo nidanganye nini ili nipate hela ya balimi...mfyuuuuu em acheni njaa bwanaa[emoji57][emoji57]


#nohardfeelings#
no hard feelings kweli???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom