St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
It is just a coincidence. Yaani unamtongoza mchana, saa12 jioni kakutumia msg mume nimekumisi, saa mbili usiku nina shida ya hela mume wangu. Na sababu zao zinafanana. Utaskia mama anaumwa, luku imeisha, kodi ya nyumba imeisha, jamani... Yote hayo yalikuwa yanasubiri nikutongoze??