KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
nilikosea namba moja, sasa nimewapigia voda ndo wanasema hivoMkwe mimi sio mtoto mwenzio ujue!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikosea namba moja, sasa nimewapigia voda ndo wanasema hivoMkwe mimi sio mtoto mwenzio ujue!!!
Una mpango wa kupokea hiyo hela au huna maana kwa maneno haya naona unazidi kusukumia mbali bahatiSijui ni mura[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huyu atakuwa wale wa "rara chini nikurenge" tu kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una mpango wa kupokea hiyo hela au huna maana kwa maneno haya naona unazidi kusukumia mbali bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma nyingine, hiyo waambie wakurudishie wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] kubali tu kushindwa yakhee hujauzu kozi ya udangaji rudi kwa kungwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa shushu lile, hela haitoki hapo mama.
Tuma nyingine, hiyo waambie wakurudishie wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kubali tu kushindwa yakhee hujauzu kozi ya udangaji rudi kwa kungwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Woooooiiii!! Baki na pesa yako, na kaa hapo hapo ukiiisubiri hiyo j.mosi.embu tuwasikilizie hata masaa 24, tuangalie na matokeo ya jumamoc [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we ulijuaje, Tuma ada nikufundishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe huo ndio udangaji[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Nipe darasa mama.
Duuh nimeipenda japo mimi sivuti bange"Ukiwa na pesa utaelewa kuwa pesa si kila kitu, na usipokuwa na pesa ndio utaelewa kuwa pesa ni kila kitu."
- Falsafa za mvuta bangi
Mwenza mimi na wewe hatushindwani bwana.
Anza kuvuta bangi mwenza, hutojutia.
Mwenza mimi na wewe hatushindwani bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nyingi sana.
Namba yangu ileile ya halopesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ninatuma.