Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nikiona thread kama izi huwa najihisi kama Mimi ni mwanaume kabisa! Sinaga mshipa wa kuomba omba ata kwa mume wangu au Mungu alisahau kuniekea huo mshipa
 
hata wanaume baadhi msione wapenzi wenu wanajiweza kidogo basi na nyinyii mara ooh AC ya gari imelegea,sijui banseni bana ya gari imeungua jaame jaamee,.jameniiii em tusichanganye mapenzi na njaa,.ndio maana watu hamfiki vileleni kwasababu unawaza sijui leo nidanganye nini ili nipate hela ya balimi...mfyuuuuu em acheni njaa bwana

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Unapomtongoza mwanamke asubuhi jioni anapata tatizo la kifedha hivyo basi kama mpenzi mtarajiwa unapaswa kwa namna yoyote kutatua tatizo.

SWALI

Hawa wanawake zetu tunaowatongoza ufanya hivyo ili kujihakikishia kama endapo akikubali offer ya mahusiano atakua na mtu sahihi au ni namna mpya ya utapeli mjini kupitia mwamvuli wa mapenzi???

Binafsi niliwai mtongoza dada niliekutana nae njiani akaniomba elfu70 baada ya mahojiano ya hapa na pale akashuka mpaka elfu tatu.
Ahahahahahahah,, iyo kali uyo demu anaonekana alikuwa ana njaa sana mpaka buku tatu uyo papuchi ata kwa mkopo anatoa vzur tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom