Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mbunye naipenda kuliko pesa zangu utani sipendi kabisa mbele ya hii kitu.
 
Hakunaga tajiri Wa hivyo pesa utafute kwa tabu bado kwenye kugegeda ujitume Kama mariooo au wanaume mashine hiyo iko wale wasiokuwa na maisha
 
Hatare sana, kumbe ndicho kinafanyika kwa wake zetu!!
 
Kwa wanawake hawa na Tanzania hakuna Mwanamke atamvumilia mwanaume asiye na pesa kisa ni mtaalamu wa mwandiko ubaoni.

Na Bahati nzuri Mungu hakunyimi vyote ukikosa pesa anakupa mguu wa mtoto na nguvu za kiume ila ukiwa na pesa anakupa Kibamia na Nguvu kidogo.

Fanya uchaguzi makini.
Duuh umeshuka mistari ya nguvu mkuu hasa conclusion hapo chini kwenye uchaguzi makini ambapo ingependeza kwenye kufanya uchaguzi makini ni pamoja na KUKUA KIUMRI na KIUCHUMI na mwanaume yaani kuwa na mwanaume wako wa ujanani yaani uliyetoka nae "from zero to hero" utajikuta demu ana enyoy tofauti na sasa mtu anatafuta ready made (mwenye hela tayari) wengine ndio wanapambana na hiyo hali though kuna wenye hela na kupiga pampu pia wapo vizuri.

Otherwise, wakibahatisha ambae hana hela lakini anajua kupiga pump ni kumpa mtaji tu ili kuanzisha maisha mapya
 
Ukiwa unafuatilia maneno ya wanawake unaweza kuchanganyikiwa aiseee,huwa nawaza sijui wao wakiwa wenyewe huwa wanazungumza nini,lakini wadau..
Msihangaike sana,mwanaume ni hela,mwanaume ukiwa na hela ni raha sana!!!usipokuwa nazo utapata tabu sana!..
 
Unapomtongoza mwanamke asubuhi jioni anapata tatizo la kifedha hivyo basi kama mpenzi mtarajiwa unapaswa kwa namna yoyote kutatua tatizo.

SWALI

Hawa wanawake zetu tunaowatongoza ufanya hivyo ili kujihakikishia kama endapo akikubali offer ya mahusiano atakua na mtu sahihi au ni namna mpya ya utapeli mjini kupitia mwamvuli wa mapenzi???

Binafsi niliwai mtongoza dada niliekutana nae njiani akaniomba elfu70 baada ya mahojiano ya hapa na pale akashuka mpaka elfu tatu.
 
Ndio ubaya wa kuwa tegemezi kwa kila kitu na kuendekeza umasikini,.hivi mtu mmekutana alfajiri adhuhuri unaomba hela ya luku jamanii,ina maana huyo mtu asingetokea ingekuwaje??aisee sipendi hizi tabia za kishamba ningekuwa na uwezo ningewachapa viboko watu wa hivi,na hata wanaume baadhi msione wapenzi wenu wanajiweza kidogo basi na nyinyii mara ooh AC ya gari imelegea,sijui banseni bana ya gari imeungua jaame jaamee,.jameniiii em tusichanganye mapenzi na njaa,.ndio maana watu hamfiki vileleni kwasababu unawaza sijui leo nidanganye nini ili nipate hela ya balimi...mfyuuuuu em acheni njaa bwanaa😏😏


#nohardfeelings#
 
Inasikitisha saana. Huwa nampenda demu msema kweli.
Kuna mmoja alinambia nimpe 15, nilimpenda sana lakini asubuhi nikampa 40.

Alifurahi sana. Nilimpa kwa kuwa hakuonesha njaa kwangu. Alikuwa mkweli kwangu. Nami nilifurahi.

Yaani siku hizi, wengi wanaudhi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom