Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

ukita uwamini pesa aiwezi nunua furaha kwa mwanaume uwe una uwezo wa kudindisha utaona dunia imekuelemea kwa mwanamke auna kizazi utajiona si chochote ata kama utakuwa tilioenea
Huu[emoji115] [emoji115] ndio ukweli pesa sio kila kitu kwenye mapenzi
 
Bakini na hizo amani sijui furaha zenu, mie na dadaangu espy tupeni tu pesa, hayo mengine tutapata tu kupitia hiyo pesa
 
Ivi ni kiasi gani cha pesa kinatosha katika mapenzi??

Maana najua hata Demu wa Mengi, anaweza kumuacha nakwenda kwa Dangote, wakati huo Dangote anaweza achwa nademu akatimukia kwa Billigate !! Wakat huo huo Billgate naye ataachwa na demu ataenda Kwa kajamaa kamoja ni Kaimbaji maarufu na hakana ela wala nn!!

Ni kiasi gani cha pesa kinatosha ktk mapenzi?? ..mi.nadhan, Ukishakua na kazi yako/biashara, ukawa na nyumba , na usafiri ,Yapasa sasa uongezee maarifa yakua Mapenzi ni zaidi ya Pesa... Tukatae tukubali Akili za wanawake wanazijua wenyewe !!


Mimi sina pesaaaaa, msura wangu mbayaaaaaa kauzu kwelikweli ,, ila Ninavyopendwa na watoto wakali [emoji23][emoji23][emoji23]..utadhani nina Bahati ya Ngekewa!!


On notice , A woman has a form of an ANGEL ,a Heart of a SERPANT and the mind of an ASS. !!

Kama ni pesa?? Zarieth asingemkimbia Ivan ,nakwenda kwa Diamond na bado akaachana na Diamond.. ... Wacha sisi tunaoelewa Akili za wanawake, Tuendelee kujilia[emoji28]
 
Last edited:
Mtazamo huu ni sahihi kwenye jamii zetu hizi za kimasikini - kwa wenye pesa wanajua jinsi gani mapenzi siyo pesa na pesa siyo mapenzi.

Na mara nyingi kama una mpenzi maskini, kuna uwekano mkubwa kwamba hakupendi wewe anapenda tu pesa zako na hivyo vizawadi zawadi ulivyo vitaja kwenye post yako. Kama vipi mwezeshe huyo mpenzi kapuku apata pesa za kumtosha uone timbwili lake kama hatokuhacha yeye basi umapenzi penzi hule wa kimasikini masikini hutaisha na mwisho wewe mwenyewe utahamua kuhachana naye.
 
Hellow !!!
Hivi wanaume wenye hela mna nini lakini?
Mnapenda kulala kama gogo mwanamke ndiyo ajishughulishe yeye tuu. Kwani nyie hamuwezi kujituma? (Kwenye mapenzi)
Msituchoshe bhana.. Yaani mtu ukiwa na mwanaume wako unachoka kama vile umetoka kulima kwa kujituma tuu, kila saa utasikia baby panda juu [emoji57] [emoji57] na kuanza mpaka sisi tuanze kuwagusa gusa, kuandaa mwanamke hata hadi alainike huo muda hamna mnaamini pesa ni kila kitu.

Kuna msemo "mwanamke nampa kila kitu lakini haridhiki, nimemnunulia nyumba , gari nk lakini bado anacheat" lazima tucheat maana hamturidhishi kimapenzi.

Na wakati nikienda kwa asiye na hela, napata mapenzi kama yotee!! Tangu kufika mtu yupo bize na mimi tuu, ashike hapa ashike kule, aniimbie imbiee hadi raha. Kwa nini nisicheat?

Wanaume wenye kuamini hela zenu ndiyo mapenzi endeleeni. Msiwaridhishe wapenzi wenu nyie wanunulieni magari tuu na nyumba.

Pooovu kama lote !! Ila sijamlenga yeyote humu.
Siku njema.
 
Kwa wanawake hawa na Tanzania hakuna Mwanamke atamvumilia mwanaume asiye na pesa kisa ni mtaalamu wa mwandiko ubaoni.

Na Bahati nzuri Mungu hakunyimi vyote ukikosa pesa anakupa mguu wa mtoto na nguvu za kiume ila ukiwa na pesa anakupa Kibamia na Nguvu kidogo.

Fanya uchaguzi makini.
 
Back
Top Bottom