Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mwanaume ambaye analalamika kuwa wanawake ni pesa tu... ajiangalie machaguzi ya wanawake anao wataka.

Kama mind yake imesimama kwenye kupata masista duu wa town.. yes lazima uchunwe.. na uchunwe milele...

Kama unatafuta wife wa kuish nae lazima uangalie beyond uzuri. Kumbuka wife utaspend nae maisha yaliyobaki, lakin a hoe utagonga na kuacha.

Mke anahitaji matunzo, si lazima uwe tajiri. Lakin mwanamke charuko anataka pesa muda wote, si za matunzo tu.. mpaka za kuuza sura.. kujidai..

Maamuzi ni yako.. do yoy want a wife or you want a hoe?
[emoji86][emoji85]
 
Unafkiri wanawake mafala wameisha??!!wanaovumilia hata ukiwa hauna pesa??!!kwani wanawake wangapi unawaona wanaishi na masela choka chafu??ukiwafata hawa madem wa kimjin wanaopiga make up sana ndio wanapenda pesa na hawafai kwa matumiz ya nyumbani

[emoji1534][emoji3]tafta pesa acha kujitetea mkuu
 
Pesa natafuta na wala sijahalalisha kwamba mwanamke usimpe pesa hata ukiwa nayo!ni jambo jema kumsaidia yoyote unapokuwa nazo na km hauna ndo akuvumilie hd uzishike
 
Mwanaume ambaye analalamika kuwa wanawake ni pesa tu... ajiangalie machaguzi ya wanawake anao wataka.

Kama mind yake imesimama kwenye kupata masista duu wa town.. yes lazima uchunwe.. na uchunwe milele...

Kama unatafuta wife wa kuish nae lazima uangalie beyond uzuri. Kumbuka wife utaspend nae maisha yaliyobaki, lakin a hoe utagonga na kuacha.

Mke anahitaji matunzo, si lazima uwe tajiri. Lakin mwanamke charuko anataka pesa muda wote, si za matunzo tu.. mpaka za kuuza sura.. kujidai..

Maamuzi ni yako.. do yoy want a wife or you want a hoe?

[emoji1534]
 
Unafkiri wanawake mafala wameisha??!!wanaovumilia hata ukiwa hauna pesa??!!kwani wanawake wangapi unawaona wanaishi na masela choka chafu??ukiwafata hawa madem wa kimjin wanaopiga make up sana ndio wanapenda pesa na hawafai kwa matumiz ya nyumbani
Haswaaaa mkuu
 
Da Lu ww ni mwanamke wa tofauti sana. Huna hata dada ako nioe maana you are so wise.. sio hawa magugumaji wa huku jf (si wote)
[emoji23][emoji23][emoji23] huwezi amini mm ndo wa mwisho dada zangu wawili wameshaolewa.
 
Mwanaume ambaye analalamika kuwa wanawake ni pesa tu... ajiangalie machaguzi ya wanawake anao wataka.

Kama mind yake imesimama kwenye kupata masista duu wa town.. yes lazima uchunwe.. na uchunwe milele...

Kama unatafuta wife wa kuish nae lazima uangalie beyond uzuri. Kumbuka wife utaspend nae maisha yaliyobaki, lakin a hoe utagonga na kuacha.

Mke anahitaji matunzo, si lazima uwe tajiri. Lakin mwanamke charuko anataka pesa muda wote, si za matunzo tu.. mpaka za kuuza sura.. kujidai..

Maamuzi ni yako.. do yoy want a wife or you want a hoe?
Mkuu wasiyotaka pesa wanapatikana wapi mkuu niende huko
 
Wako hata hapo ulipo. Lakin ni nadra sana kuwajua. Sio kwamba hawataki pesa, wanataka matunzo. Ambao wanataka pesa kwa nguv ni wale wenye tamaa.

So kuwa makin na utafutaj wako. Mtangulize Mungu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mwanaume ambaye analalamika kuwa wanawake ni pesa tu... ajiangalie machaguzi ya wanawake anao wataka.

Kama mind yake imesimama kwenye kupata masista duu wa town.. yes lazima uchunwe.. na uchunwe milele...

Kama unatafuta wife wa kuish nae lazima uangalie beyond uzuri. Kumbuka wife utaspend nae maisha yaliyobaki, lakin a hoe utagonga na kuacha.

Mke anahitaji matunzo, si lazima uwe tajiri. Lakin mwanamke charuko anataka pesa muda wote, si za matunzo tu.. mpaka za kuuza sura.. kujidai..

Maamuzi ni yako.. do yoy want a wife or you want a hoe?
You nailed it
Bravo
 
Kati ya viumbe vilivyopendelewa na Mungu ni mwanadamu.Wamepewa utashi wa mang'amuzi wa mambo.

Uchaguzi ni wako Mwanamke pesa au Mwanamke matunzo.
 
Pia ni moja ya kiumbe hatari sana kinachoipa dunia tabu kwa sababu ya machaguzi mabovu.
 
Back
Top Bottom